Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 15,930
- 27,184
Kama unadhani ni rahisi kupata majeraha ya muda mrefu na kurejea kwa kasi kama Odoi niambie nikupe story ya Charly Musonda nahisi utakua unamfahamu.Kama majeruhi hata Loftus cheek ni majeruhi kuliko odoi, ila still Unaweza kumuwekea dhamana cheek na sio odoi .
Ngoja tuone msimu huu, Pale best teanegers ni Mount ,Gilmour ,Cheek , ila odoi anapita mule mule wanapopita kina Lingard
Pamoja na majeruhi ya odoi ,akipewa nafas hafanyi inavyotakiwa , ngoja nimuone msimu huu , Maana atapata nafas sana tu ,Willian si hayupoKama unadhani ni rahisi kupata majeraha ya muda mrefu na kurejea kwa kasi kama Odoi niambie nikupe story ya Charly Musonda nahisi utakua unamfahamu.
Willian hayupo. Ziyech si yupo?Pamoja na majeruhi ya odoi ,akipewa nafas hafanyi inavyotakiwa , ngoja nimuone msimu huu , Maana atapata nafas sana tu ,Willian si hayupo
Unaandika nini wewe tulia ivyo ivyo ..uyo Saka ni Odoi watatu..acha ushabiki mze, be realisticSaka utafananisha na yule bishoo odoi ana goli 1 la EPL toka aanze kucheza Chelsea
Saka miaka 18 ana potential kubwa kuliko huyo Odoi,
Mnajuta bora mngemuuza Bayern hata kwa £5m
Dgo mimi nna 26 siyo 24 banaSeriously nimekupita umri kwa hapo ulipo kwenye 24. Siyo sana ila nimekupita.
Tatizo awa fans wa arsenal wana mind kweli kweli.Yah Ollachuga Oc hanaga shida ana jokes za kishabiki ambazo haziko offensive, by the way huwa anachangamsha jukwaa.
Sema tatizo lake ni moja tukakosea kuchagua team ya kushabikia. Kwa umri wake angechagua Arsenal angekula mema ya nchi sana.
Hili tatizo la build up limekuepo hata kwa Ljungberg.Mfumo wa 3-4-3 kauasisi hapo Arsenal ni Wenger , akimpiga Conte , na City nusu final ,aliutumia sana
Emery , huyu katumia mfumo ya kila aina hapo Arsenal , na hakuwa na structure yoyote ya kuwasaidia wachezaji
Hivi unakumbuka hata kufanya buildup Timu ilikuwa haiwezi, had Leno ikabidi awe anapiga mpira mbele
Tatizo awa fans wa arsenal wana mind kweli kweli.Yah Ollachuga Oc hanaga shida ana jokes za kishabiki ambazo haziko offensive, by the way huwa anachangamsha jukwaa.
Sema tatizo lake ni moja tukakosea kuchagua team ya kushabikia. Kwa umri wake angechagua Arsenal angekula mema ya nchi sana.
Haya twende
Anayemind yupo.Tatizo awa fans wa arsenal wana mind kweli kweli.
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
HahahahaHaya twende
Happy Birthday to you
Happy Birthday to you
Happy Birthday dear Olla
Happy Birthday to you.
Yeah uwe unaaamkia watu.
Wee unataka uyo Bellerin auzwe kwa pesa ngapi? Apo arsenal nadhani ni Auba tu ndo anaweza kutamba na pound za kutosha.PSG waache dharau aisee
Exclusive: PSG did make an offer of around € 20m for Hector Bellerin. Arsenal are asking for €39m, so an agreement is a long way off. [@ParisFansfr]
Hector Bellerin will stay at Arsenal this summer, it’s looking like. Arsenal’s valuation of the player is way off what PSG are willing to pay & at the moment the negotiations are way off. #afc
Arsenal won’t be bullied into accepting a lower fee than what they value Bellerin at & Bellerin is happy to stay at the Emirates under Arteta. He won’t push for a move. #afc
Wee unataka uyo Bellerin auzwe kwa pesa ngapi? Apo arsenal nadhani ni Auba tu ndo anaweza kutamba na pound za kutosha.
Tena apo wamewaheshimu sana.
Yule dgo Martinez pound Mil 10 zinamtosha kabisa, pelekeni AstonVilla
Nyie arsenal ni timu ndogo sana hamna wachezaji wa gharama kabisa.
#CFC
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Tushabikie mpira kwa amani mazee...Anayemind yupo.
Hajarudi kwenye huu uzi hadi muda huu.
Nyie msipouza hamwezi kusajili ndo shida ilipo apo mkuu.uzuri hatuuzi sasa
Acha hizo wewe , Tunauza kupunguza wage billsNyie msipouza hamwezi kusajili ndo shida ilipo apo mkuu.
Mfano mkiuza Auba kwa thamani ya wachezaji mnaonunua, mtanunua hata kumi.
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Nyie Chelsea mlioanzishwa 2005?Tushabikie mpira kwa amani mazee...
Sema tukubaliane kwanza Chelsea ndo Pride Of London, The King of the Jungleand London is Blue
Then ndo itafuata arsenal na tuendelee na mambo mengine..
#CFC
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app