Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
Hajakataa Arsenal, kakataa ofa za timu nyingine tatuSasa mbona amekataa halafu wanasema anarudi?
Huyu Arteta ana convicing power ya kufa mtu... Hapa tumepata bonge la kochaHajakataa Arsenal, kakataa ofa za timu nyingine tatu
Kumbuka Madrid walimrudisha ili wamuuze ,
Moja ya waliomuhitaji kwa kumnunua kabisa ni Ac Milan, na timu ya kijijini kwao Real Betis
Mwisho Arteta kamshawishi , Anarud kwa mkopo tena
Nilisema hapa Arteta amesema anataka kupambania mataji ,ni dhahiri hatutaenda na viungo hawa hawa
Toreira ,Gunduz wanauzwa ,Hapo Lazima tutaongeza Watu zaidi
Huyo mtaalamu kila sekta.Huyu Arteta ana convicing power ya kufa mtu... Hapa tumepata bonge la kocha
Kumbe anabonga lugha nne!... Anamkaribia kidogo Wenger kwa kujua lugha nyingiHuyo mtaalamu kila sekta.
Lugha zenyewe anaongea lugha zaidi ya 4 kiufasaha
Inawezekana ikawa zaidi.. Ngoja wajuzi watupe taarifa fasaha.Kumbe anabonga lugha nne!... Anamkaribia kidogo Wenger kwa kujua lugha nyingi
Nadhani anaongea lugha 7 kama WengerHuyo mtaalamu kila sekta.
Lugha zenyewe anaongea lugha zaidi ya 4 kiufasaha
Anaongea lugha 7 kwa mujibu wa Website official ya Arsenal
Nadhani mkuu Nyamuswa utakuwa ushapata jibu.Anaongea lugha 7 kwa mujibu wa Website official ya Arsenal
Spanish midfielder Arteta, who speaks a total of seven languages (Spanish, English, French, Italian, Portuguese, Catalan and Basque)
Arteta supports language programme
Murua kabisa!.. Kumbe ndio maana anafanikiwa... Mawasiliano yana mchango mkubwa sana katika kupata ushindi ndani ya uwanja... Sio kama enzi za Emery mpaka awe na mkalimaniNadhani mkuu Nyamuswa utakuwa ushapata jibu.
Kipindi cha Unai niliwahi kusikiliza kile kiingereza chake kwenye press zake, kiukweli hata mjomba Magu anamshinda!Murua kabisa!.. Kumbe ndio maana anafanikiwa... Mawasiliano yana mchango mkubwa sana katika kupata ushindi ndani ya uwanja... Sio kama enzi za Emery mpaka awe na mkalimani
Kwenye mazoezi anasema Come wengine wanadhani anasema CalmKipindi cha Unai niliwahi kusikiliza kile kiingereza chake kwenye press zake, kiukweli hata mjomba Magu anamshinda!
Kwenye mazoezi anasema Come wengine wanadhani anasema Calm
Unai alikuwa mbabaishaji sana!.. Napiga picha mpaka leo tungekuwa na Unai tungekuwa tumerudi nyuma kiasi gani!Kipindi cha Unai niliwahi kusikiliza kile kiingereza chake kwenye press zake, kiukweli hata mjomba Magu anamshinda!
Tusingekuwa tunatamba jukwaani muda huuUnai alikuwa mbabaishaji sana!.. Napiga picha mpaka leo tungekuwa na Unai tungekuwa tumerudi nyuma kiasi gani!
Tungekuwa championship muda huuUnai alikuwa mbabaishaji sana!.. Napiga picha mpaka leo tungekuwa na Unai tungekuwa tumerudi nyuma kiasi gani!
Hali ilikuwa mbaya!.. Mpaka vitimu vya hovyo vilikuwa vina uhakuka kutufunga!.. Lakini sasa hivi mpaka liver mwenyewe haamini kama kafungwa mara mbili ndani ya suku 45 tu, man city kapigwa, chelsea tukala kichwa.... Huu msimu nina uhakika tunamaliza top four na ikiwezakana tunabeba kombe jingineTungekuwa championship muda huu