Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
Acha uongo ,Wewe mwerevu ungefanya research kwa ndugu zako uone walivyokua wanamtupia lawama mwenzenu humuhumu kwa nini timu inafanya vibaya.
Kijana kupiga ramli hakutakufikisha popote ,Hoja yangu unaikwepa halafu unafokafoka tu. Nakurahisishia kwa kukwambia kwamba kwa Arsenal yenu hamuwezi kuchukua UCL ndani ya miaka 3. Hata EL mpaka damu zitawatoka puani hamchukui msimu ujao.
Mtasema naongea kwa chuki ila kila kitu kinaonekana. Tukutane msimu ujao.
Huyu kabaki kuwa mpiga ramli tu,Hata community shield jana mlisema hatubebi lakini tumebeba ndoo!.. Mtakasirika sana msimu huu!.. Nakuombea maisha marefu ili uone tunavyofanikiwa
AminaHata community shield jana mlisema hatubebi lakini tumebeba ndoo!.. Mtakasirika sana msimu huu!.. Nakuombea maisha marefu ili uone tunavyofanikiwa
Mkiambiwa ukweli mnasema tunapiga ramli. Aya ngoja kushotoUmekosa tunguli tu
Lakini tayari ni mchawi 100%
Kijana kupiga ramli hakutakufikisha popote ,
Ulianza pale Wembley nikakunyoa ,Jana Umepiga ramli ,zimegoma
Hukomi tu ?
View attachment 1553014
"FA unacheza mechi ngapi mpaka uje kuingia final na CS ni mechi moja tu unategemea reaction yake itakuaje?"Unajua tulikotokea mpaka nikamjibu hivyo?
Kusema tunajazwa ujinga na sisi tunajaa ni kadharau comedy fulani hivi.Mkuu hakuna cha ajabu naamini kwenye timu yoyote inawezekana. Ila kila kitu ni process na haya mambo yanaenda hatua kwa hatua. Anzeni na EPL kwanza then onyeshe i umwamba kwenye EL ndio mkachukue hiyo UCL. Haya mambo msidhani ni bahati tu watu wanajipanga. Angalia Pep anavyohangaika uko leo hii Arsenal eti ndani ya misimu 3 akabebe UCL? Acheni masikhara bhana
Mimi Arsenal naijua bhana mtapoteana hapa na wewe ndio utabeba lawama kwa nini timu inafanya vibaya kwa sababu unawajaza wenzio ujinga na wenyewe wanajaa kweli.
Mungu awabariki sana na awazidishie maradufu kwa tendo hiloLeo baadhi ya mashabiki wa Arsenal tupo kigamboni
Tumekuja kutoa msaada kwa kituo cha watoto Yatima
Nitapost picha chache baadae
Nimepewa taarifa asubuhi , nimeungana kushiriki baraka
ONCE GUNNER ALWAYS GUNNER
Wewe najua kwanini unateseka,ni Wazi kwamba Arsenal akichukua UCL basi wewe utabaki mtoto wa kambo pale London, hutakuwa na neno lolote mbele ya GunnersMkuu hakuna cha ajabu naamini kwenye timu yoyote inawezekana. Ila kila kitu ni process na haya mambo yanaenda hatua kwa hatua. Anzeni na EPL kwanza then onyeshe i umwamba kwenye EL ndio mkachukue hiyo UCL. Haya mambo msidhani ni bahati tu watu wanajipanga. Angalia Pep anavyohangaika uko leo hii Arsenal eti ndani ya misimu 3 akabebe UCL? Acheni masikhara bhana
Mimi Arsenal naijua bhana mtapoteana hapa na wewe ndio utabeba lawama kwa nini timu inafanya vibaya kwa sababu unawajaza wenzio ujinga na wenyewe wanajaa kweli.
Mkuu usiseme hivyo, watu wanaumia ujuetimu kubwa England ni MAN U, ARSENAL na LIVERPOOL tu kihistoria na hata hapo mbele kidogo itarudi kuwa hivi. Hao wengine wote hovyo kabisa. Kuna watu humu wameanza na Chelsea ya Mourinho na Tottenham ya Poch ndo maana wanaziona ni timu za maana.
Sasa wewe tunakuona una chuki binafsi tu na Gunners,tulikubonda juzi kati hapa bado nguvu unatoa wapi ww za kuja humuHoja yangu unaikwepa halafu unafokafoka tu. Nakurahisishia kwa kukwambia kwamba kwa Arsenal yenu hamuwezi kuchukua UCL ndani ya miaka 3. Hata EL mpaka damu zitawatoka puani hamchukui msimu ujao.
Mtasema naongea kwa chuki ila kila kitu kinaonekana. Tukutane msimu ujao.
Kabisa, jamaa roho mbaya km mchawi vile,hataki kusikia Gunners tunashineUmekosa tunguli tu
Lakini tayari ni mchawi 100%