Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Kabla ya game niliongelea pia kuhusu Mo. Elneny. Kuna jamaa akaja kuni-crash hapa kwa nguvu..

Eti yuko slow! Sasa kama yupo slow lakini SURE kuna tatizo gani?

Halafu kumbukeni, Elneny huyu sio yule wa Unai. Ni zama za Arteta sasa.

Ukitaka kuhakikisha ninachoongea, we waangalie AMN, Mustafi na Holding walivyogain confidence baada ya kuja Arteta.

Siku zote usiongee ukamaliza, bakisha akiba ya maneno!
 
Pierre-Emerick Aubameyang on more silverware:


“It feels very good. First of all, I have to say Happy Birthday bro [Maitland-Niles]. He was the man of the match, I’m really happy for him, he deserves it. We’re going to take this trophy & this time, hopefully I don’t drop it!” [BT]
 
Mpaka muda huu siamini kinachoendelea katika timu yetu ya Arsenal,haya ni Maajabu makubwa sana 29 Days 2 trophies and we beat Giants of football it's not normal kabisa kwa timu yetu I am sure this season Arsenal haitachukuliwa tena kama underdog maana anything can happen
 
Dah Arteta hivi vitu anavyotuletea ilifaa kuwe na mashabiki uwanjani ila covid-19 imezingua. I feel sorry for him, he needs a bit of cheer from fans, still a work in progress but very promising!!

Ukiangalia kikosi chetu kina a lot of u-23s na non 1st team players huku Liver akiwa na almost 1st eleven
Bravo #Mikel.
 
Mzee nlikusahau.
Nakubaliana nawe nadhani timu imekuwa bora to be honest

Ni tactical games, kuna uwezekano mkubwa sana Arteta ni tactician mzuri, sina uhakika sana. Ila matokeo yameongea.

Tusubiri ligi ianze tuone jinsi mnavyocheza vs mid na lower table, maana wao ni wazee wa kuharibu mipango na kupaki basi.
 
Yes niliona comment yako, honestly hata me sikukubaliana na maoni yako but i chose to be quiet, kwa kikosi cha leo na ukizingatia mpinzani wetu alivyo it was a good test for him (Elneny) and its fair to say he did very very well.
 
Ha haaa, this time hatalidondosha kwamba amezoea kuyabeba sasa, the future is just exciting.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…