Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
Subiri kuanzia kesho utasikia tupo wapi ,@Will jr
Ivi tatizo lipo kwa atheltico Madrid au partey? Maana week ya nne hii
Kwa kuwa Artera na Edu wanatokea huko na inaonekana kana kwamba wahispania na wabrazili ni ngangali mno au wakakamavu mno tupo nyuma yao haya ni maoni yangu wenye chuki na chama mjinyonge!!Sasa hivi sajiri nyingi zitakuwa wahispania n wabrazil View attachment 1545416
Mustafi yupo sokoniSubiri kuanzia kesho utasikia tupo wapi ,
Partey nadhan tunasubiri tuuze kwanza ,huyu ni usajiri wa mwisho kabisa ,
Maana ni kwenda kutrigger release clause tu
Personal term already agreed
Tegemea kwanza waondoke Guendouz na Toreira
Ujio wa Gabriel , tegemea Sokratis kusepa muda wowote
Coutinho sio priority kwani?After Gabriel Magalhaes nadhani sasa Edu na Kina Hussy Fahmy wanageukia eneo la Midfield Partey na Aouar ndio first priority Pamoja na kumrejesha Ceballos kwa mkopo Arsenal tuna jambo letu 2020 /2021
Sidhan ,huyu dili lilkukuwa hot sababu ya uwepo wa RaulCoutinho sio priority kwani?
Dah sawa.My brother
Haimaanishi statistics za RB LEIPGZ vs PSG ndo ikawa factor ya PSG kufungwa na BEYERN,Always mpira haupo hivo,kila timu inacheza kutokana na quality ya opponent pia vilevile timu hucheza kutokana na stage ya tournament.. PSG final stage ndo Mara yao ya kwanza..so I hope watapambana
Unfortunately enough am not a gambler ila tayari buku2 tayar ushaliwa
Remember my words kwamba Neymar jr atawabeba PSG
...mpaka niwaone wanapiga danadana...Kijana anajitahidi. Ni vizuri apate backroom staff atakaoweza kufanya nao kazi vizuri. Ila swala la usajili nimejifunza kutokuamini tetesi yoyote ile. Kama Gabriel na Partey ni mpaka niwaone Arsenal.com wanapiga danadana ile pale Colney ndiyo nitaamini.
Sio PRIORITY?Sidhan ,huyu dili lilkukuwa hot sababu ya uwepo wa Raul
Na sasa hivi Koeaman anamuhitaj
Umekuja na huku?!Hili timu halina hata future planning yani ipoipo tu
Hivi huyu jamaa Fabrizio Romano taarifa zake anazipatia wapi?Fabrizio Romano anaaminika katika hii sekta
Dark web.Hivi huyu jamaa Fabrizio Romano taarifa zake anazipatia wapi?
Yani kila transfer yeye taarifa zake anazijua..
Ni mwandishi wa habari wa michezo. Kwahiyo tips anagewa za uhakikaHivi huyu jamaa Fabrizio Romano taarifa zake anazipatia wapi?
Yani kila transfer yeye taarifa zake anazijua..
Uyo ndo mastermind wa arteta ..ngoja uone atakavyovuruga.Aliyekuwa kocha wa muda mfupi wa Arsenal, Freddie Ljungberg ameachana na klabu hiyo. Kabla ya ujio wa Mikel Arteta, Ljungberg alikuwa kocha wa muda akishika nafasi iliyoachwa wazi na Unai emery na baada ya ujio wa Arteta akawa sehemu ya benchi la ufundi.
"Nimefikia uamuzi huu ili nikajiendeleze katika malengo yangu ya kuwa kocha mkuu" View attachment 1545159