Relief Mirzska
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 13,976
- 22,409
Hiyo ni picha ya msimu wa nyuma?? Ushapanick mkuu hahahahahaHizi tabia zenu za kuficha picha za misimu ya nyuma na sisi tukitoa za kwetu
#CFC
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
HapnaJmani inamana niko peke yangu humundani shabiki wa Arsenal?
Siasa kila wakati inaboa jama
Kichapo cha Wembley kimeshapoa?View attachment 1544925
Kila la kheri kwake.Aliyekuwa kocha wa muda mfupi wa Arsenal, Freddie Ljungberg ameachana na klabu hiyo. Kabla ya ujio wa Mikel Arteta, Ljungberg alikuwa kocha wa muda akishika nafasi iliyoachwa wazi na Unai emery na baada ya ujio wa Arteta akawa sehemu ya benchi la ufundi.
"Nimefikia uamuzi huu ili nikajiendeleze katika malengo yangu ya kuwa kocha mkuu" View attachment 1545159
On my side am looking different kabisa juu ya prediction over the gameMaoni yangu game ya PSG na Bayern fainali ya UEFA.
Kwanza PSG anafungwa. Kuifunga Bayern unahitaji mpira wa counter attack na basi la kiasi chake. PSG kwa ubora wa wachezaji wake itakua ni aibu kupaki basi hivyo atashambaulia na atajitahidi kumiliki mpira na kucheza tikitaka.
Timu ya mwisho kucheza tikitaka mbele ya Bayern ni Barcelona ilipigwa 8 kwa 2.
Natarajia katika kipindi cha kwanza PSG ama atakua hajaona goli kabisa au atakua na goli moja. Bayern watakua na goli kuanzia 2.
Matokeo full time ni kila mmoja kua na goli kuanzia 2.
PSG possession yao itasoma kuanzia 48-52, kwa kipindi cha kwanza na cha pili. Overall atakua na 52+ katika possession. Bayern haoni shida kumuacha mpinzani amiliki mpira labda kama huyo mpinzani atapaki basi. Game na Barcelona possession alizidi Barca.
Hizi timu zote ni wacheza faulo na kwakua hii game ni final na timu zitahustle kusaka kombe naona wakijirudi na kua wapole. Hivyo faulo itakua kwenye range ya 4 to 6.
PSG siyo wapiga mashuti. Mechi ya kwanza na Madrid ni mechi pekee ambayo walipiga shots nyingi mno mechi zilizofuata idadi ya shots zilipungua na kuendelea kupungua hii yaweza tokana na wafungaji wa kuaminiwa ni Mbape na Icardi hivyo wengine hawapigi shots mara kwa mara. PSG shots zake ni 0 to 10.
Bayern kwa upande wake yeyote anashinda hivyo hua na shots nyingi always. Hata kwenye mechi hii naamini atapiga shots 15+
Kadi kwenye hii fainali hazitatolewa sana. Wote hawa ni wacheza faulo lakini hua ni ngumu kuadhibiwa kwa kadi hivyo naona kadi zitakuana range ya 0 to 1 kwa wote wawili.
Kona, Bayern atapiga kona nyingi kuliko PSG. Shots nyingi anazopiga siyo zote zitakua on target zingine zitaenda nje na hizo ndiyo kona zenyewe. Bayern kona ni 7+ wakati PSG itakua na kona 4 to 6.
Katika off side hawa wote wawili off side Bayern itakua 0 to 1 na PSG itakua na offside 3+.
Katika pasi hawa wote watapiga pasi zaidi ya 415.
Different goalscorers kwangu ni 3+ timu ya Bayern ina watu wengi wanaokua wapo tayari kushinda hivyo hii itakua ni chansi ya kila mmoja kuscore na kuongeza idadi ya differente goalscorers.
Maoni yako?
Nishawekeana na mtu elfu mbili kwamba PSG hatoboi. Na wewe kama unataka weka.On my side am looking different kabisa juu ya prediction over the game
Namuona Neymar junior dos Santos da Silva akiwabeba PSG
aisee battle ya alphonce Davies na mbappe naisubiri kwa hamu maana wote wana Kasi ya kimbunga
PSG anashinda
My brotherNishawekeana na mtu elfu mbili kwamba PSG hatoboi. Na wewe kama unataka weka.
Hahaha nazingua. Unajua PSG ana advantage ya kua na Neymar, Mbape, Di Maria na Icardi hawa wote wako vizuri hivyo kusema Bayern atashinda inataka moyo mgumu kidogo.
Lakini hoja yangu mimi naiegemeza kwa kuangalia game ya PSG na Atalanta na PSG na RB.
Atalanta alipiga pasi zaidi ya 350. RB alipiga pasi zaidi ya 415. Na wote walimshambulia sana PSG Navas alithibitisha ubora wake kwenye game na Atalanta.
Game na RB ilikua wazi kwamba RB wanachokosa ni striker. Poulsen hana kiwango cha kutisha uwepo wa Werner ungeisaidia RB siku wamekutana na PSG.
Bayern ameifunga Barcelona goli nane lakini alipiga pasi chini ya 414. Alivyocheza na Lyon alipiga pasi zaidi ya 450. Hii inamaanisha kwa Bayern ukijichanganya kumiliki mpira na kumshambulia kwa kujiamini yeye pasi zake zitakua ni za kutafuta mabao tu, wakati ukipaki basi atapiga pasi nyingi ili kupata chansi.
Now tujiulize, PSG atapaki basi? Naamini jibu ni Hapana. Huko kufunguka ndiyo kutaipa chansi Bayern kupiga pasi za kutafuta kuscore tu.
Ila nipo serious. Nimewekeana na mtu elfu mbili.
Safari hii watatukomaa.Bado partey na yule mwarabu.