Guendouz hamna mchezaji mule ,ndio maana swap zote wanamuunganisha na hela juu , hakubalikiNa hili ndilo litakalo tusibu kwa Guendouzi. Let's wait and see
Haaahaaaa hyo inaitwa bwana ametoa bwana ametwaaa.....msajilini saliba fastaArsenal away to Fulham on the opening weekend. Then home to West Ham.
They then face Liverpool (a), Sheffield United (h), City (a), Leicester (h), Man United (a) in their next five games.View attachment 1542800
Ishu ya Gnabry na Gue hazifanani mkuu....Na hili ndilo litakalo tusibu kwa Guendouzi. Let's wait and see
Ishu ya Gnabry na Gue hazifanani mkuu....
Gue ni Morrison wa kizungu
Umeongea nini hapa? Wanzuki au chang'aa? Saliba asajiliwe kutokea wapi?Haaahaaaa hyo inaitwa bwana ametoa bwana ametwaaa.....msajilini saliba fasta
Na bado tumekaa nae tu hatumtoi?? Tunachelewa nini na kila wiki anakula tu mshahara wa bure maana hatumtakiGuendouz anatakiwa atolewe bure championship
kwa sababu ana mkatabaNa bado tumekaa nae tu hatumtoi?? Tunachelewa nini na kila wiki anakula tu mshahara wa bure maana hatumtaki
Nakubaliana na wewe ,huyu nikionaga anacheza double pivot na xhaka huwa siangalii mpira maana najua ushind ni sare .Guendouz anatakiwa atolewe bure championship
Halafu Gue hajaanzia huo ukorofi Arsenal ,hata kocha wake kule ufaransa alimuelezea ,Hapo kuna maswali mawili tu ya kujiuliza,
1.Kipindi Arsenal players wanamshambulia Ruud Van kocha alikuwa nani?
2.Kipindi Gue anafanya haya kocha ni nani?
Ukishapata jibu basi utaondoa hiyo sintofahamu mkuu,
Kisha unajiongeza na haya,
Kila kocha ulimwenguni ana vipaombele vyake, Arteta anahitaji nidhamu kwanza ili kujenga timu yake,
Na Arsene alikuwa na vipaombele vyake pia na ndio maana kipindi kile watu kama Vieira, Wilshare walidumu ktk timu...
Sasa usichanganye matakwa ya Arsene na Mikel,
Lingine Gue ni bado kijana mdogo sana kutunishiana misuli na Arteta, ukitaka kujua dogo mizinguo hata Reine Adelreide mtu aliyemshauri akubali kuja Arsenal alimponda pia na kuelezea juu ya tabia zake,
Arsenal kwny jezi huws hmkoseagi Uzi mkali nrautfaut uzi ata mmoj tu thou I'm not arsenal fan