Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
Update: 𝗰𝗼𝗺𝗽𝗹𝗲𝘁𝗲 
Welcome to the honours board, number 14

Welcome to the honours board, number 14



Kipindi kile ilikuwa ngumu kupata namba , Alikuwa anapambania namba na Ox , Walcoth , akapelekwa kwa mkopo wesbrom Akaumia , Alipopona Tony pulis akasema Huyu mtoto hafai kucheza EPL ,kipindi hicho amebakiza mkataba mwaka mmoja , Wenger akamwambia abaki , kumbe Bayern walishaongea na Werder Bremen wamsajiri kisha wao ndio wamchukue,kwa makubaliano wamtumie mwaka mmoja tu , Wakijua wao Bayern wakija moja kwa moja Watauziwa bei kubwa.Ilikuwaje nyinyi mukamuuza Serge Gnabry?
Tena kwa £5M?
Muwe munaangalia Vipaji musiwe kama Chelsea
Aaron kakusikia mkuu,Aje mapema azoeane na wenzake pale kati sasa hivi mambo kama ya mtu apewe muda hatuyataki,tunataka tit for tat![]()
MkuuIlikuwaje nyinyi mukamuuza Serge Gnabry?
Tena kwa £5M?
Muwe munaangalia Vipaji musiwe kama Chelsea

kwa kumshawishi mchezaji, pia kupiga dili na Werder Bremen wampitishe mchezaji mlango wa nyuma, kimsingi zoezi zima liliratibiwa na wao, 







jamaa walikaa pembeni wakamwachia Sane ajihamishe kwa kupush deal, end of the day
City 
wakakunja 35m kwa mchezaji wa 100m





Mkuu
Bayern walitupiga chenga ya maudhikwa kumshawishi mchezaji, pia kupiga dili na Werder Bremen wampitishe mchezaji mlango wa nyuma, kimsingi zoezi zima liliratibiwa na wao,
Wenger hili alishalizungumzia huko nyuma.
Bayern wanapenda kitonga, na wamekuwa wacheza rafu sana ktk soko.... Muangalie huyo Coutinho wanajifanya kama hawamtaki ila utakuja stuka wamemchukua bure
Asili ya Bavarian ni vitonga sana, Pep alitaka kuwatoa ktk tamaduni yao na ndio maana wakamtimua mapema,
Lewandosky wamepata kitonga
Mario Gotze
Leroy Sane wamemnunua kitonga
Cities walipelekewa ofa ya 35m kwa Leroy wakareject na kuwaambia Bayern waache utani, kilichotokeajamaa walikaa pembeni wakamwachia Sane ajihamishe kwa kupush deal, end of the day
City
wakakunja 35m kwa mchezaji wa 100m
Sikumbuki ni lini jamaa wametoa zaidi ya £50m kununua mchezaji,
Pumbav kabisa hawa, walaghai.
Wanaweka sumu kwa mchezaji mapemaaa alafu wao wanakaa pembeni kama hawapo, wanamwachia mchezaji mwenyewe ajihamishe
Linapokuja suala la hawa Kenge katika usajili, haifai kumlaumu mtu,
Tunaanzia ugenini sio mbaya dhidi ya FulhamArsenal away to Fulham on the opening weekend. Then home to West Ham.
They then face Liverpool (a), Sheffield United (h), City (a), Leicester (h), Man United (a) in their next five games.View attachment 1542800
Arsenal away to Fulham on the opening weekend. Then home to West Ham.
They then face Liverpool (a), Sheffield United (h), City (a), Leicester (h), Man United (a) in their next five games.View attachment 1542800




mamamae October hiyo
Round ya kwanza tunacheza game kubwa zote ugenini kasoro game na Chelshishi tu ambayo tutakuwa home.Arsenal away to Fulham on the opening weekend. Then home to West Ham.
They then face Liverpool (a), Sheffield United (h), City (a), Leicester (h), Man United (a) in their next five games.View attachment 1542800
Na hili ndilo litakalo tusibu kwa Guendouzi. Let's wait and seeIlikuwaje nyinyi mukamuuza Serge Gnabry?
Tena kwa £5M?
Muwe munaangalia Vipaji musiwe kama Chelsea