Mkuu nimemcheki youtube,niseme tu ht mimi namtaka huyu AouarWatajua kuwa hawajui
Partey kagoma kuongeza mkataba ATM toka mwez October. ,his desire is to join Arsenal
Barca offered Coutinho to Arsenal ,Arsenal completed all personal terms since last week , its remain Arsenal to decide whether to Bring Coutinho to Arsenal or not
Now Tumemgeukia Aouar (first bid £44m+ Guendouz rejected)
I wish 2nd bid will be sent immediately
Acha tujenge timu irudi ile 2003 na 2004 ya bila kupoteza mchezo na hakuna timu yoyote uingereza itakayo tokea kuvunja rekodi ile ya Arsenal!!Mkuu nimemcheki youtube,niseme tu ht mimi namtaka huyu Aouar
Yah tuunde jiwe livunje record yetu wenyeweAcha tujenge timu irudi ile 2003 na 2004 ya bila kupoteza mchezo na hakuna timu yoyote uingereza itakayo tokea kuvunja rekodi ile ya Arsenal!!
Labda Arsenal tuweke nyingine!!
London is red forever!!
Done.@Dully
Tunakuomba usijipige ban baada ya mechi,manake huyu muhuni wa Argentina atawalaza na viatu.Haya karibuni leo usiku by 10:00 AM litapigwa kabungu moja la mabingwa wa kihistoria na pia anayewawakilisha mashindano ya ulaya kwa sasa. Msikose kuja kuangalia pressing za hatari
Usiku wa 10:00 AMHaya karibuni leo usiku by 10:00 AM litapigwa kabungu moja la mabingwa wa kihistoria na pia anayewawakilisha mashindano ya ulaya kwa sasa. Msikose kuja kuangalia pressing za hatari
Ndo maana wanaitwa nyumbu f.c dahhUsiku wa 10:00 AM
🤣🤣🤣Usiku wa 10:00 AM
Huyu Ceballos kama hawataki kumtoa kwa mkopo mpaka tumchukue mazima ni bora waachane nae tu..Gabriel Magalhaes' deal is done.
Auba signed a new deal.
We are in talks with a new AM midfielder also.
Ceballos & Partey's are still on the line.
Mkuu,Gabriel Magalhaes' deal is done.
Auba signed a new deal.
We are in talks with a new AM midfielder also.
Ceballos & Partey's are still on the line.
Mkuu,
Unasema?