Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Nyumbu wachague popote wanapopataka tupo tayari kwa mchezo
Mwanitesa utd hata wakitaka tukachezee kwenye maji watafariki kama ifuatavyo.

Katika ile big 4, hawa na Chelsea tunawafunga wote ndio tunahesabu tumefunga team moja iliyotimia.
 
Mwanitesa utd hata wakitaka tukachezee kwenye maji watafariki kama ifuatavyo.

Katika ile big 4, hawa na Chelsea tunawafunga wote ndio tunahesabu tumefunga team moja iliyotimia.
Kabisa mkuu, walitakiwa waungane ili waje wacheze nasi fainali ya FA ila mmoja wao akajifanya kiherehere
 
Kabisa mkuu, walitakiwa waungane ili waje wacheze nasi fainali ya FA ila mmoja wao akajifanya kiherehere
Na uzuri tumempatia alichotaka. Ukimpiga risasi tembo akafa, kama kulikuwa na swala pembeni anadedi kwa kishindo tu.

Baada ya kumtia kiberiti City semi final huyu 'swala' ilikuwa wa kuokota na kumchuna tu.
 
Breaking News: Chris Morgan has left arsenal to join Liverpool.

Arsenal Looking to bring Mazziot
 
Statement ya Willian. Nasi tunamtakia kheri katika utelkelezaji wa majukumu yake.

I think this club deserves to shine again and I want to be a part of this project.
League titles

Arsenal: 13
Chelsea: 6
Spurs: 2

Trophies

Arsenal: 45
Chelsea: 28
Spurs: 24

Just a reminder that London is Red.
 
L’Equipe allegedly reported Lyon turned down an offer of Guendouzi and £44m (€48.6m) for Houssem Aouar. That’s around £79m (€87.2m) in value...
 
League titles

Arsenal: 13
Chelsea: 6
Spurs: 2

Trophies

Arsenal: 45
Chelsea: 28
Spurs: 24

Just a reminder that London is Red.

In other words,

League titles:

Arsenal = Chelsea + Spurs + 5

Trophies:

Arsenal = Chelsea + Spurs - 7

Therefore, London will remain RED whatsoever color you paint it
 
Timu imejaa wapigaji tu mtamkumbuka Wenger..
#CFC


Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…