Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Kwa hali hii ni dhahiri kuwa Coutinho hawezi rudi tena Barça, maana sio kwa udhalilishaji huu aliowafanyia..

Na vile vile nafasi yake kwenye timu ya Bayern ni ndogo, hivyo ni lazima atafute sehemu ya kwenda.

Guess where?
 
Barca buana, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089] mimi nikifikiria mambo haya ya kutunguliwa 7up kama jirani kule, na 8 8 [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] naona bora nipashe yuropa kwanza
 
Yeah wewe Europa saizi yako ..wanaume tuachie tupambane na wanaume..
#CFC [emoji170][emoji170][emoji170]
 
Hiki kipigo cha udhalilishaji lazima leo au kesho kocha anapewa chake, hataonekana tena kwenye payroll
 
Siumepigwa 7 wewe, nenda UCL ukiwa uchi tena , utapigwa 14
Umesahau ulipigwa 10 tena ukiwa kwenye Ubora wenu kabisa.

Mimi na ubovu wangu nimepigwa 7 ningekuwa vizuri wale hata dro wasingepata, umesahau uefa final? Allianz Arena
 
Kubali na nyie mlitandikwa 7 bado ipo kwenye history
 
Umesahau ulipigwa 10 tena ukiwa kwenye Ubora wenu kabisa.

Mimi na ubovu wangu nimepigwa 7 ningekuwa vizuri wale hata dro wasingepata, umesahau uefa final? Allianz Arena
Acha kelele umekula 7 wiki

Nenda msimu ujao ukiwa na Kepa au Caballero kama hujala 14
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Bayern na Manchester wana nini na hizi timu..?View attachment 1537701
20200815_083854.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom