Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
Safi, bado Thomas
Bado usajiri mkubwa tumeanza sasa!!Safi, bado Thomas
Signing on fee included...Willian will earn a staggering £220k-a-week on a three-year deal at Arsenal. [@SamiMokbel81_DM]
Mnahera nyinyi za kufanya usajiri mkubwa au mnataka mmarekani wenu ajinyonge.Bado usajiri mkubwa tumeanza sasa!!

Asante mkuu kwa hili umekua muungwana.Hongereni kwa kumpata Willian.
#CFC![]()
Bora ya wewe kuliko yule mwenzako anayelialia kwa kumponda willian kila wakatiHongereni kwa kumpata Willian.
#CFC![]()
Kingine Willian ana urafiki mkubwa sana na mkurugenzi wa michezo pale arsenal ambaye pia ni mbrazil.... Mr. Edu Gaspar
Agent wa willian, David luiz na coutinho, agent wao ni mmoja. KIA JARCHOBIAN
Willian na Familia yake wanapenda sana maisha ya London na wanapafurahia pia., kias kwamba baada ya Brazil second home ni London, hivi majuzi Willian amepata hati ya uraia ya uingereza..kutokana na Ishu ya uraia pacha.
Ziada zaid mkataba mrefu wa miaka mi 3, wa paund 220,000 kwa wiki sawa na T.sh.600M+ zimerahisisha kumshawishi Willian kwenda the Gunners..Pesa ipo ya kutosha kufanya usajiri mkubwa Arsenal, ndio kwanza tumefunguaMnahera nyinyi za kufanya usajiri mkubwa au mnataka mmarekani wenu ajinyonge.
Hapa tumepata mmoja wa wachezaji mzuri ulimwenguni!!.... Willian Anashare Mgahawa mmoja pale London na mbrazil mwenzie David Luiz. unaitwa *Babur restaurant*.....
Kingine Willian ana urafiki mkubwa sana na mkurugenzi wa michezo pale arsenal ambaye pia ni mbrazil.... Mr. Edu Gaspar
Agent wa willian, David luiz na coutinho, agent wao ni mmoja. KIA JARCHOBIAN
Willian na Familia yake wanapenda sana maisha ya London na wanapafurahia pia., kias kwamba baada ya Brazil second home ni London, hivi majuzi Willian amepata hati ya uraia ya uingereza..kutokana na Ishu ya uraia pacha.
Ziada zaid mkataba mrefu wa miaka mi 3, wa paund 220,000 kwa wiki sawa na T.sh.600M+ zimerahisisha kumshawishi Willian kwenda the Gunners..
Karibu North London WILLIAN BORGES DA SILVAView attachment 1537171
Partey tayari 90%Nimetoka kuangalia video clips za Willian na Partey youtube..
Kiukweli pale kwa Willian tumelamba dume!
Sasa tufocus kwenye usajili wa Thomas maana jamaa anatusubiri sisi tu tukamchukue.
Kusema ukweli kwa kipindi hiki sijawahi kuona DMF mwenye uwezo wa kupiga chenga na stamina kama alivyo Partey..
Tukikamilisha na usajili huu, mimi nahesabia kama tayari tumemaliza usajili, Edu nakuwa simdai tena.