Utopolo kama utopolo
The 220k salary for Willian is factoring in all the bonuses etc. His base wage is lower than his chelsea wage. (Mail)Willian will earn a staggering £220k-a-week on a three-year deal at Arsenal. [@SamiMokbel81_DM]
DEAL DONE: Arsenal wamekamilisha usajili wa Willian na wamempa mkataba wa miaka 3-Willian ameachana na Chelsea baada ya mkataba wake kuisha (Source: Arsenal)
Good mwanzo mzuri sana kwa chama letuDEAL DONE: Arsenal wamekamilisha usajili wa Willian na wamempa mkataba wa miaka 3-Willian ameachana na Chelsea baada ya mkataba wake kuisha (Source: Arsenal)View attachment 1536863View attachment 1536864View attachment 1536865
Karibu sana Willian katika timu kubwa Uingereza kuja kubeba makombe!!Willian ni attacking midfielder na ni winger hivyo anatoa options nyingi tu kwa Arteta.
Arteta anamwona Willian anaweza kucheza nafasi hadi nne tofauti.
Kwa miaka mitatu Willian atatusaida sana.
View attachment 1536914
Karibu Arsenal Willian.