Dah sema tu nadhani ni hizi financial constraints zinaibana club ila kwa Laca binafsi naona ameadapt kwenye mfumo wa Arteta na hasa kwenye high pressing yupo vizuri sana, mfano game kama ile ya Liver pressing zake zilizaa makosa kwa beki za Liver tukapata magoli.Arsenal will sell France striker Alexandre Lacazette, 29, to Atletico Madrid for £30m as soon as Gabon striker Pierre-Emerick Aubameyang, 31, agrees a new deal. (Star Sunday)
Xhaka sio tu katika uchezaji hata katika mapato ya klabu kupitia mauzo ya jezi ni among Aubameyang, Özil, Tierney, Lacazatte, Pepe na Bellerin.Yaan hata tukileta viungo 10
Watajichagua wakuungana na kucheza na Xhaka
Xhaka ndio backbone ya Arsenal eneo la MD ,
Ndio maana Arteta alipambana kwa nguvu zote akabaki
Takwimu zinaonesha Xhaka akiwepo uwezekano wa kupoteza mech ni mdogo sana
Xhaka alipotea baada ya kucheza double pivot na Matteo Gunduz
Xhaka wakati anapangwa na Mathayo Gunduz alikuwa anateseka kuibalance midfield hadi unamuonea huruma, kila wakati yuko off position kwa ajili ya kuoffer cover kwa Gunduz ambaye akipanda ni mzito kurudi na anapoteza sana mipira kwenye 2/3 ground hivyo tunapigwa counter kila dakika.Yaan hata tukileta viungo 10
Watajichagua wakuungana na kucheza na Xhaka
Xhaka ndio backbone ya Arsenal eneo la MD ,
Ndio maana Arteta alipambana kwa nguvu zote akabaki
Takwimu zinaonesha Xhaka akiwepo uwezekano wa kupoteza mech ni mdogo sana
Xhaka alipotea baada ya kucheza double pivot na Matteo Gunduz
Hakika, na baada ya kuanza kucheza na Torreira alianza kuwa bora tena na Shkodrani makosa yalipungua.Xhaka wakati anapangwa na Mathayo Gunduz alikuwa anateseka kuibalance midfield hadi unamuonea huruma, kila wakati yuko off position kwa ajili ya kuoffer cover kwa Gunduz ambaye akipanda ni mzito kurudi na anapoteza sana mipira kwenye 2/3 ground hivyo tunapigwa counter kila dakika.
Then mashabiki wanamponda Xhaka, unajisemea hawa watu hawaoni kama tatizo ni huyu Gunduz? Luiz, Sokartis na Mustafi pia iliwafanya waonekane wabovu sababu hapakuwa na defensive cover kabisa.
Sasa hivi wapo na Ceballos ndio hatari zaidiHakika, na baada ya kuanza kucheza na Torreira alianza kuwa bora tena na Shkodrani makosa yalipungua.
Toreira hakuna tatizo ,ukizingatia hata sasa kapoteza namba kwa ceballosIla kuwauza Torreira na Lacazette tunapoteza sn , sio siri wazee
Angejua huyo jamaa ndio backbone ya timu, waje wote wanaosajiriwa. Watajijua kupigania nambaHuyo ambae hajui na haoni umuhimu wa Xhaka kwenye timu yetu kwangu mimi namuona kama mamluki tu!
Inawezekana hata mpira wenyewe akawa haangalii.
Ngoja tuchukue mzigo tukaongeze maumivu kila tukikutana na shemeji Chelsea!!Sijawahi kumuelewa Willian pia hakuna mchezaji mkubwa kuliko timu. Heshima yake ndio inalindwa kwa mkataba wa miaka miwili na siyo kiwango chake.
Chukueni mzigo huo muone anavyojua kuumiza vichwa.
KARIBU KWENYE MAKOMBE WILLIAN!!Welcome to the Arsenal, @willianborges88. If you play for the badge and give your all for this club, you'll do great here.View attachment 1532177
Hivi kesho willian ndo anatangazwa ?The Willian contract could actually be a 2+1 deal. When we signed Luiz, everyone reported a 2 year-deal but it was actually a 1+1. Very different scenario if it actually is this way. We will find out soon enough.
Kuanzia keshoHivi kesho willian ndo anatangazwa ?