Niles apewe namba ya kudumu, he's very talented, kwenye CUP kaonesha uwezo mkubwa snNitaumia sana NILES akiuzwa , jamaa amekuwa msaada sana ,ni bas hajaaminiwa. ,
Amekuwa akitumika kama LB,LWB,RWB ,CM anakichafua vzr tu
Arteta hawez kukubali jamaa auzwe maana amekuwa akitekeleza majukumu anayomtuma kwa 100%
Angalia anapomtuma akacheze kama LWB jamaa anakuwa committed 100% ,
Dah kweli macho yetu kama washabiki tumetofautiana sana huyu jamaa kwangu ni aina ya lazy players wengi tuliokua nao kwenye timu ambao binafsi nisingependa awepo kabisa.Nitaumia sana NILES akiuzwa , jamaa amekuwa msaada sana ,ni bas hajaaminiwa. ,
Amekuwa akitumika kama LB,LWB,RWB ,CM anakichafua vzr tu
Arteta hawez kukubali jamaa auzwe maana amekuwa akitekeleza majukumu anayomtuma kwa 100%
Angalia anapomtuma akacheze kama LWB jamaa anakuwa committed 100% ,
Niles alikuwa bado anakomaa kuelewa mchezo unaendaje,utakuwa umeona kwny game za hivi karibuni kazi aliyoifanya,lakini mzee unanishangaza ukisema Xhaka hatufai!!Dah kweli macho yetu kama washabiki tumetofautiana sana huyu jamaa kwangu ni aina ya lazy players wengi tuliokua nao kwenye timu ambao binafsi nisingependa awepo kabisa.
Huyu Niles, Xhaka,Holding,Willock ,Nelson kwangu sioni kama wanafaa kuipeleka arsenal kwenye mafanikio chanya. Hawa na baadhi ya wachezaji wengine ndio wameipeleka arsenal kuifanya kua timu Nyanya sana.arsenal inayogombania nafasi ya kucheza ueropa. Ni mtazamo wangu lakini.
Xhaka hafai? Wewe jamaa huwa unaangalia mpira kweli?Dah kweli macho yetu kama washabiki tumetofautiana sana huyu jamaa kwangu ni aina ya lazy players wengi tuliokua nao kwenye timu ambao binafsi nisingependa awepo kabisa.
Huyu Niles, Xhaka,Holding,Willock ,Nelson kwangu sioni kama wanafaa kuipeleka arsenal kwenye mafanikio chanya. Hawa na baadhi ya wachezaji wengine ndio wameipeleka arsenal kuifanya kua timu Nyanya sana.arsenal inayogombania nafasi ya kucheza ueropa. Ni mtazamo wangu lakini.
Dah kweli macho yetu kama washabiki tumetofautiana sana huyu jamaa kwangu ni aina ya lazy players wengi tuliokua nao kwenye timu ambao binafsi nisingependa awepo kabisa.
Huyu Niles, Xhaka,Holding,Willock ,Nelson kwangu sioni kama wanafaa kuipeleka arsenal kwenye mafanikio chanya. Hawa na baadhi ya wachezaji wengine ndio wameipeleka arsenal kuifanya kua timu Nyanya sana.arsenal inayogombania nafasi ya kucheza ueropa. Ni mtazamo wangu lakini.
Kumuweka Xhaka hapo umekosea ....Xhaka ni mtu wa tatu kwa umhimu Arsenal baada ya Mikel na AubaDah kweli macho yetu kama washabiki tumetofautiana sana huyu jamaa kwangu ni aina ya lazy players wengi tuliokua nao kwenye timu ambao binafsi nisingependa awepo kabisa.
Huyu Niles, Xhaka,Holding,Willock ,Nelson kwangu sioni kama wanafaa kuipeleka arsenal kwenye mafanikio chanya. Hawa na baadhi ya wachezaji wengine ndio wameipeleka arsenal kuifanya kua timu Nyanya sana.arsenal inayogombania nafasi ya kucheza ueropa. Ni mtazamo wangu lakini.
Kila mmoja na mtazamo wake ila Mimi kwangu Xhaka ni bonge la mchezaji na hata huyu Niles anajitahidi kuziba nafasi uwanjani ila hao wengine wakuuza tu!!Dah kweli macho yetu kama washabiki tumetofautiana sana huyu jamaa kwangu ni aina ya lazy players wengi tuliokua nao kwenye timu ambao binafsi nisingependa awepo kabisa.
Huyu Niles, Xhaka,Holding,Willock ,Nelson kwangu sioni kama wanafaa kuipeleka arsenal kwenye mafanikio chanya. Hawa na baadhi ya wachezaji wengine ndio wameipeleka arsenal kuifanya kua timu Nyanya sana.arsenal inayogombania nafasi ya kucheza ueropa. Ni mtazamo wangu lakini.
Nakubaliana nawe Mkuu!!Mkuu ukiangalia umri wa Niles ni umri ambao mchezaji anahitaji kupata personal development kwa kutumiwa kwenye nafasi moja na iwe ni his best prefered position, kinyume chake Niles anatumika kama kiraka kucheza kama full back (right and left), anacheza pia kama right winger na sometimes anacheza kama central midfielder.
Ni wachezaji wachache sana kwenye umri wake wanaweza kuwa na versatility ya kiwango hicho, na pia hiyo inaathiri sana uwezo wa mchezaji kufanya vizuri kutokana na kubadilishiwa majukumu kila leo, ila Niles bado anaonesha uwezo wake katika majukumu hayo tofauti. Kwangu me huyu hapaswi kuuzwa, ni moja ya valuable assets kwa club ya Arsenal.
Kwa Xhaka sijajua unamuona vipi hafai wakati ndio kiungo wetu tegemezi na anaibeba timu kila siku. Holding amekuwa na changamoto sana ya majeruhi, siwezi mlaumu.
Kwa hao kina Willock na Neilson ni the same case, ndani ya miaka miwili wanafundishwa na walimu watatu (Wenger, Unai na Mikel) hapo hujazungumzia timu walizoenda kwa mikopo. Kwa umri wao inaweza kuwaathiri kucheza chini ya makocha tofauti kila siku tena wenye falsafa tofauti pia.
Wamuuze haraka ili tununue kwa wakati!!Arsenal will sell France striker Alexandre Lacazette, 29, to Atletico Madrid for £30m as soon as Gabon striker Pierre-Emerick Aubameyang, 31, agrees a new deal. (Star Sunday)
Daah!. Sema jamaa mpira umegoma tu, lakini jamaa ni fighter sana!Wamuuze haraka ili tununue kwa wakati!!
Jamaa hajui Xhaka ndio backbone ya Arsenal ,ndio maana Arteta alipambana jamaa abaki,Niles alikuwa bado anakomaa kuelewa mchezo unaendaje,utakuwa umeona kwny game za hivi karibuni kazi aliyoifanya,lakini mzee unanishangaza ukisema Xhaka hatufai!!
Atakuwa aliangalia kipind cha Unai emeryXhaka hafai? Wewe jamaa huwa unaangalia mpira kweli?
Yaan hata tukileta viungo 10Kumuweka Xhaka hapo umekosea ....Xhaka ni mtu wa tatu kwa umhimu Arsenal baada ya Mikel na Auba