isajorsergio
Platinum Member
- Apr 22, 2018
- 4,143
- 6,562
Aisee Torreira akiyasikia haya kutoka kwako anaweza kulia akilinganisha na wakati anasajiliwa kutoka Sampdoria alisikia jambo jema sana na kipindi akivuruga mechi za Manchester United & City, Liverpool na Tottenham.Ujio wa Partey automatically Toreira hana kaz tena
Maana Ceballos anaongezewa loan , bado kuna Xhaka, anakuja Coutinho , willian Na Deal la Partey bado lipo Active
Kwa scenario hii ,Toreira hana namba tena
Aaron appreciate the little work from our boys, usione hawafai sababu unataka kusikia klabu imesajili.
