Kaka Arsenal wapo kwa Gabriel MagalhaesUsajili News: Arsenal kumsajili beki Malang Sarr bila ada, wakishindwa kumsajili Sergio Carlos wa Sevilla.
View attachment 1528237
Vyanzo vya kuaminika kabisa kutoka Uhispania vinasema Arsenal wanashindwa kuafikiana na timu ya Sevilla kuhusu kumsajili beki Diego Carlos kwani ada ni kubwa sana ya Euro milioni 60.
Msenegali Sarr hana ada ya uhamisho hivyo kufanya dili lake kuwa ahueni.
Sarr ni raia wa Ufaransa ambae amechezea timu ya vijana umri chini ya miaka 21 ya Ufaransa.
Taarifa zaidi kuja.
Baada yahapo akachezea klabu ya Nice.
(4-3-3)
-MARTINEZ
-BELLE -SALIBA -LUIZ -TIERNEY
-CEBALLOS -PARTEY -XHAKA
-WILLIAN -AUBA - COUTINHO
SUB:
-Leno
-Pepe
-Lacazette
-Holding
-P. Mari
-Mustafi
-Maitland Niles
-Cedric
-Torreira
-Saka
Hivi kikosi kama hiki huyo mpinzani anatokea wapi?!
Yani hapo unaangalia mpira huku pembeni unashushia na kinywaji kabisa!
Mid table teams wanakuaga na fikra kama hizi. Vya bure ili wabaki kwenye ligi.My predictions based on report (not info) this summer is:
Willian - Free
Coutinho - Loan
Partey - we pay his release clause
Ceballos - Loan
A CB
Will it be a good summer? What do you think?
Mbona unateseka sanaMid table teams wanakuaga na fikra kama hizi. Vya bure ili wabaki kwenye ligi.
Unateseka sananyie jamaa mnafurahisha sana
Kichapo cha wembley bado kinakuwehushaMid table teams wanakuaga na fikra kama hizi. Vya bure ili wabaki kwenye ligi.