Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
Upo sahihi kabisa, na kwanini ofa zinakuja anazikataa anataka had mkataba wake uishe ndio asepeKwakweli hapana yule anapenda pesa... Hana cha kuipenda timu wala nini? Kwanini aliitia presha timu mpaka kuiingiza ktk bogus contract kama ile wakati timu ilikuwa ktk wakati mgumu wa kuondokewa na keyplayer wake Alexis Sanchez, kama anaipenda timu kwanini hakutulia kwanza kwa muda ule
Mkuu kwa ile contract ya £350,000/= kwa wiki ya miaka mitatu, lazima aoneshe mapenzi hata ya kinafki.Ozil tumpeni Respect wakuu, No matter what jamaa kaonyesha mapenzi makubwa na Club ila Club imemkataa Nw.
Willian anahitajika kwasababu ni pro ktk ligi, anaweza kuadd kitu kikubwa hawa watoto sio wa kuwaamini sana, tumekuwa nao kwa muda mrefu sana bila kuwa na mafanikio yoyote,Willian dili ya hovyo hii, kuja kwa Willian maana yake Auba anaingia kati na Lacca atakuwa bench warmer,Hatumhitaji huyu ni bora Joelson wa Lisbon ambaye very promising.
Hapo shida sio Ozil mkuu, bodi ndo ilishindwa kunegotiate sababu iliingiza emotions kwenye issue za biashara, na Hizi negotiations kwa asilimia kubwa Wenger alikuwa anahusika,Nakumbuka mzee alituma £92m kwa Thomas Lemar kisa Sanchez anataka kwenda City ilikuwa january window,Sasa swala ni kwamba Lemar alikuwa anaworth hiyo price tagged?Kwakweli hapana yule anapenda pesa... Hana cha kuipenda timu wala nini? Kwanini aliitia presha timu mpaka kuiingiza ktk bogus contract kama ile wakati timu ilikuwa ktk wakati mgumu wa kuondokewa na keyplayer wake Alexis Sanchez, kama anaipenda timu kwanini hakutulia kwanza kwa muda ule
Willian hayupo kwny Project ya Lampard mkuu,Ni vile tu Chelsea wanaona km Ziyech akiflop Willian atasaidia, unless Willian ni new bench warmer paleHakimbii bench, anataka mkataba wa miaka mitatu,
Wao wanampa miwili
Arsenal wamemuofa mitatu na mshahara wa 120k per week
Ozil anakosewa heshima mkuu,tulikuwa na wachezaji wanaojituma km Fabregas, Nasri, Van persie,Adebayor,Song,Sagna lakini waliishia wapi?Mkuu kwa ile contract ya £350,000/= kwa wiki ya miaka mitatu, lazima aoneshe mapenzi hata ya kinafki.
Kwa mshahara anaochukua tunaweza kupata wachezaji watano wa £70,000/= per week ambao wanaweza kudeliver zaidi yake. Jamaa hayuko commited kabisa, hana tofauti na tapeli anaye kuibia huku anatabasamu...
Hajawahi kuonesha thamani ya anacholipwa jambo ambalo linaweza kukatisha tamaa watoto wanao mtazama pale klabuni. Imagine Bukayo Saka kwa performance yake alikuwa analipwa £3,000/= kwa week kabla ya mkataba huu wa juzi.
Huyu mkuu anataka kuingia straight kwny kikosi,huyu sio wa kuja kukaa bench,Na sisi hatuna shida kwny eneo analocheza sana sana anakuja kuvuruga protocol tu.Willian anahitajika kwasababu ni pro ktk ligi, anaweza kuadd kitu kikubwa hawa watoto sio wa kuwaamini sana, tumekuwa nao kwa muda mrefu sana bila kuwa na mafanikio yoyote,
Yaani umkatae Willian kwa sababu ya AMN
Hawa watoto kina Wilock ndio wanaoturudisha nyuma
Daaah mkuu umenifanya nicheke hapo mwishoni ulipomtaja Flimpong, moja ya wachezaji wetu ambao hawakupaswa kuwepo hata reserve pamoja na mwenzake Yaya SanogoOzil anakosewa heshima mkuu,tulikuwa na wachezaji wanaojituma km Fabregas, Nasri, Van persie,Adebayor,Song,Sagna lakini waliishia wapi?
Ozil alishakuwa peak hapo Arsenal inamhitaji kuliko,alikuwa anauwezo wa kufanya km hao wengine walivofanya ila aliamua kustay bila kuwa na hiyo 350k,
Afu kwa binafsi yangu naona sisi ndio tumemuua huyu jamaa kumchezesha na uozo wa kina Flimpong
Ozil anakosewa heshima mkuu,tulikuwa na wachezaji wanaojituma km Fabregas, Nasri, Van persie,Adebayor,Song,Sagna lakini waliishia wapi?
Ozil alishakuwa peak hapo Arsenal inamhitaji kuliko,alikuwa anauwezo wa kufanya km hao wengine walivofanya ila aliamua kustay bila kuwa na hiyo 350k,
Afu kwa binafsi yangu naona sisi ndio tumemuua huyu jamaa kumchezesha na uozo wa kina Flimpong
Kama walikuwa wanafanya ujasusi huo basi hafai, lkn mimi naona Sanchez alionesha wazi kuwa hataki kuendelea kuliko Ozildah umenikumbusha Emanuel Frimpong..
Kimsingi Ozil hakuivumilia club bali alikuwa anasubiri contract iishe aondoke for free, ndio maana alikataa kusign contract kipind hicho wako ye na Sanchez. Baada ya mwenzie kugoma completely ndio ikabidi club ijitoe muhanga kumpa huo mshahara aliotaka ili tusipoteze two key players.
Niliskia situation ilikuwa huo mshahara apewe Sanchez abaki then swap deal ingefanyika ikihusisha Ozil na Mikki (kumbuka Mou ni fan mkubwa wa Ozil) iliposhindikana ndio ikabidi aende Sanchez tusikose vyote.
Na hayo yalikuwa ni makubaliano yao (Sanchez na Ozil) wapewe salary ya £350k per week kila mmoja jambo walilojua litashindikana ili waje waondoke bure wote, ndio maana wote wanakula hiyo £350k kwa hiyo malengo yao yalitimia.
Sanchez alikuwa wazi hata uwanjani alikuwa anaonesha kwa wenzie pale wanapokosea au timu inapofanya vibaya, ilikuwa ni nidhamu mbovu sana hata me sikupenda abaki pamoja na umuhimu wake kwetu kipindi kile.Kama walikuwa wanafanya ujasusi huo basi hafai, lkn mimi naona Sanchez alionesha wazi kuwa hataki kuendelea kuliko Ozil
Mkuu hili saga nililifuatilia kwa makini sana, Ozil alitufanyia unyambilisi wa hatari, nilidhani baada ya kupewa ule mshahara angekaza, lakini ikawa differKama walikuwa wanafanya ujasusi huo basi hafai, lkn mimi naona Sanchez alionesha wazi kuwa hataki kuendelea kuliko Ozil
Mzee Wenger alikuwa ni zaidi ya kocha, alikuwa kama baba otherwise kwa situation ya Ozil hakupaswa kuendelea kuwepo. Ndio maana Unai walishindwana mapema sana.Mkuu hili saga nililifuatilia kwa makini sana, Ozil alitufanyia unyambilisi wa hatari, nilidhani baada ya kupewa ule mshahara angekaza, lakini ikawa differ
Baada ya willian anafata coutinho na Partey
Auba ataongeza mkataba wa miaka mitatu
Mwisho tutamaliza na CB mmoja
Tutafunga usajiri
Itabaki kuuza
Özil ni Arsenal Fan ni mtu anayefanya kazi ya nyumbani kwa moyo, japo akikosea watu humjia juu. Same kwa Xhaka, Shkodrani, Bellerin, Kolašinac, Chambers kwa namna Arsenal na Supporters wanavyo-treat hawa watu wangelikuwa wameondoka lakini wamebaki sababu ya loyalty na solidarity.Ozil tumpeni Respect wakuu, No matter what jamaa kaonyesha mapenzi makubwa na Club ila Club imemkataa Nw.