Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
Pepe,saka, Nelson,martinel wote hawa ni mawinga na ni vijana.Mkuu kwa maoni yako, hii move ya Willian unaichukuliaje?
Binafsi kwa kuzingatia umri wake na pia ndio tunaanza new era under Arteta, nisingependa wachezaji wenye umri wake. Isitoshe naona kama nafasi anayocheza haina mapungufu sana kwetu na kuna vijana so far wanaonesha matumaini.
Sijajua salary demand yake may be ndio kinacho tuvutia kwake kwa kuzingatia financial situation ya club.
Ni vizuri ukiwa na sub kama willian unajua akiingia anaweza badilisha matokeo na wakina wilock waende kwa mkopo wakapate uzoefu.Mkuu kwa maoni yako, hii move ya Willian unaichukuliaje?
Binafsi kwa kuzingatia umri wake na pia ndio tunaanza new era under Arteta, nisingependa wachezaji wenye umri wake. Isitoshe naona kama nafasi anayocheza haina mapungufu sana kwetu na kuna vijana so far wanaonesha matumaini.
Sijajua salary demand yake may be ndio kinacho tuvutia kwake kwa kuzingatia financial situation ya club.
Wazo lako ni zuri pia kwa kuwa kwenye nafasi anayocheza Willian, hatuna watu walio komaa wote ni makinda, ngoja tuone naamini Arteta yuko vema kama amependekeza hivyo yawezekana kuna faida tusizoziona sisi mashabiki kwa haraka.Ni vizuri ukiwa na sub kama willian unajua akiingia anaweza badilisha matokeo na wakina wilock waende kwa mkopo wakapate uzoefu.
Auba kama CF means Laca kazi anayo. Unless kama itachezwa 4 4 2 au 4 2 2 2Arteta aliomba aletewe WIDE PLAYER mmoja , japo kuna vijana ule upande
Saka ,martinell ,nelson
Ujio wa Willian ni dhahiri AUBAMEYANG anarud kama CF
Sioni umuhimu wa Willian kwa Arsenal ambayo idea yake ni kujijenga. Niles ashikishwe mikoba asiuzwe kwanza.Wazo lako ni zuri pia kwa kuwa kwenye nafasi anayocheza Willian, hatuna watu walio komaa wote ni makinda, ngoja tuone naamini Arteta yuko vema kama amependekeza hivyo yawezekana kuna faida tusizoziona sisi mashabiki kwa haraka.
Hata me nilifikiri hivyo in the first place, unless iwepo budget ya kutosha kupata pia creative defensive midfielder na central defender.Sioni umuhimu wa Willian kwa Arsenal ambayo idea yake ni kujijenga. Niles ashikishwe mikoba asiuzwe kwanza.
Ama la atafutwe Depay.
Nadhani Lacca awekwe sokoni, I like him lakini consistency yake ya ufungaji kama No. 9 hairidhishi, japo work rate yake iko juu.Auba kama CF means Laca kazi anayo. Unless kama itachezwa 4 4 2 au 4 2 2 2
Laca anatakiwa abaki.Nadhani Lacca awekwe sokoni, I like him lakini consistency yake ya ufungaji kama No. 9 hairidhishi, japo work rate yake iko juu.
1Kwani Ozil kabakisha miaka mingapi kwenye mkataba wake ili atembee?
Wanapoteaga mkuu wakihama timu, kwa jinsi Sanchez alivyokuwa anaujua mpira kipindi yupo Gunners sikuamini km angepotea hivi.Wakati mwingine dunia huwa sio fair kabisa, yaani yule goigoi Ozil anachukua £350,000/= kwa wiki then Auba anabembeleza alipwe £250,000/= kwa wiki bado club inasua sua, na hatupo Uefa ila jamaa anatuvumilia, Auba akiondoka hatuna cha kumlaumu hata kidogo.
Hivi vimishahara mbuzi vinatufanya tupokonywe silaha zetu kila siku, Striker anaye contribute 30+ (goals + assists) kwa msimu tena kwenye timu mbovu kama yetu, akienda timu iliyokamilika ni balaa tupu.
Tukimpoteza Auba kupata striker wa kiwango chake labda tumuombee Martinelli awe na hiyo consistence, otherwise hatuna jeuri ya kumpata sokoni.
Ozil tumpeni Respect wakuu, No matter what jamaa kaonyesha mapenzi makubwa na Club ila Club imemkataa Nw.Kwani Ozil kabakisha miaka mingapi kwenye mkataba wake ili atembee?
Willian dili ya hovyo hii, kuja kwa Willian maana yake Auba anaingia kati na Lacca atakuwa bench warmer,Hatumhitaji huyu ni bora Joelson wa Lisbon ambaye very promising.ARSENAL INAKARIBIA KUMNASA WILLIAN
Willian has refused another bid from Chelsea to extend his contract until June 2022. Still no agreement. Arsenal are now in talks with his representatives to sign him as a free agent - no bids from Barcelona at the moment.#AFC #CFC #transfers
Fabrizio ROMANO
Dah Sanchez utafikiri sio yeye aliyekuwa anakiwasha pale Emirates, ila kwa ile offer ya salary ya United sikumlaumu ukizingatia umri wake alikuwa anatafuta mkataba wa kustaafia, sisi tusingeweza kumudu.Wanapoteaga mkuu wakihama timu, kwa jinsi Sanchez alivyokuwa anaujua mpira kipindi yupo Gunners sikuamini km angepotea hivi.
Huyu atacheza namba ya nani?Willian to Arsenal muda wowote kuanzia sasa View attachment 1525973
Willian hawezi kukaa bench mkuu, kule The blues anakimiba bench, unadhani anakuja Arsenal kukaa bench?Ni vizuri ukiwa na sub kama willian unajua akiingia anaweza badilisha matokeo na wakina wilock waende kwa mkopo wakapate uzoefu.
Tatizo anaonekana sasa hivi anazingua,maana hataki kuondoka na ofa zinakujaOzil tumpeni Respect wakuu, No matter what jamaa kaonyesha mapenzi makubwa na Club ila Club imemkataa Nw.
Kwakweli hapana yule anapenda pesa... Hana cha kuipenda timu wala nini? Kwanini aliitia presha timu mpaka kuiingiza ktk bogus contract kama ile wakati timu ilikuwa ktk wakati mgumu wa kuondokewa na keyplayer wake Alexis Sanchez, kama anaipenda timu kwanini hakutulia kwanza kwa muda uleOzil tumpeni Respect wakuu, No matter what jamaa kaonyesha mapenzi makubwa na Club ila Club imemkataa Nw.
Hakimbii bench, anataka mkataba wa miaka mitatu,Willian hawezi kukaa bench mkuu, kule The blues anakimiba bench, unadhani anakuja Arsenal kukaa bench?
Hawa Wazee tuachane nao tuchukue fresh blood