Ng'wanza Madaso
JF-Expert Member
- Oct 21, 2008
- 2,268
- 338
Unakumbuka wiki tatu zilizopita Baloteli aligombana na Boateng mazoezini. Hii timu bado sana,hata nne bora naona bado ni ndoto. Hapa no 2 wamewashikilizia tu wenyewe Man u.Hii timu disipilini zero kabisa, mara Tevez kagombana na Meneja, mara Yaya, leo mara Kolo yaani utasema labda ni timu ya Sunday pub. Mechi bado wao wameanza kukunjana mashati, nahisi safari ya kurudi Manchester kesho baada ya kichapo itakuwa veere intarestingi.
Mara ya mwisho mmemaliza ligi mkiwa wa pili ilikuwa lini?Unakumbuka wiki tatu zilizopita Baloteli aligombana na Boateng mazoezini. Hii timu bado sana,hata nne bora naona bado ni ndoto. Hapa no 2 wamewashikilizia tu wenyewe Man u.
bila shaka vita ya panzi na iwe furaha ya kunguru, kusiwe na harmony in their dressing room
....Hodiiiiii humu ndani ndugu zangu?!...
Asante ndugu yangu. Naomba unisaidia jukwaa la kukaa...na unisaidie timu ya kushangilia usiku hii ni yep hapa.karibu u-enjoy kandanda safi hapa.
Eti ni kweli Bluuz kashapigwa KIMOJA?