Jamaa anajua na atampa leno ushindana, afu kajifunza kwa Leno kujiamini, huyu anacheza safi sn ile mipira ya kupasiana ndani ya box.Huyu kipa sioni haja ya kumtoa kwa kiwango chake kwa sasa.
Leno akipona asotee benchi tu kwanza huyu mwana ni ana qualities sana
We mwamba kitambo sana, kwema mkuu?Martines amekaa Arsenal miaka 10 ni mvumilivu sana.
Bado ni kipa namba 2 wa Arsenal.
Niko Dodoma mkuuKwema kaka
Jezi zimekuwa adimu sana , zikija,oda inakuwa kubwa zinaisha fasta
Sasa niambie unavaa Size gani, ili zikija tu niweke pembeni
Na uniambie upo mkoa gani, kama Dar itakuwa fresh
Anachinjwa liva kama kawaMwisho wa mwezi huu tuna kibarua cha ngao ya hisani na Liva. Unadhani watakubali kuchinjwa mara ya pili? Au Arsenal iharibu sherehe ya ubingwa?
Ni jingine la kulisubiri hili
Nitakujuza kesho , kaka usiwaze , kama ni size baada ya medium. Basi utapataNiko Dodoma mkuu
Kuhusu size nashindwa kusema ila kikubwa cha kunote navaa size moja na Joti mchekeshaji .
Sasa sijui waweza kupatia size yangu
Maan t shirt kama manga au hot base huwa navaa large i mean size baada ya medium.
Lkn pia ungeniambia mzigo waingia ln nakupm namba yangu
Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
Nishakupm mkuuNitakujuza kesho , kaka usiwaze , kama ni size baada ya medium. Basi utapata
Ni pm namba. ,nikifanikisha nikujuze tufanye delivery
Nimeona kaka ,shukran
Nami nataka hizo kit mkuuNitakujuza kesho , kaka usiwaze , kama ni size baada ya medium. Basi utapata
Ni pm namba. ,nikifanikisha nikujuze tufanye delivery
Wachezaji wa UMISETA HAOKovacic toka mech na man u anacheza sana Tacling anaingia sana uvunguni
Sijaona ajabu kupigwa red
Poa nitakujuza kesho mapema tuNami nataka hizo kit mkuu
Pamoja sanaPoa nitakujuza kesho mapema tu
Nami nahitaji Jezi Goooner Fans. Tumetinga kibabe. Wolves na Totteham watajijuuNitakujuza kesho , kaka usiwaze , kama ni size baada ya medium. Basi utapata
Ni pm namba. ,nikifanikisha nikujuze tufanye delivery
He is one of the best Goalkeeper. Leno asipoangalia atasugua BenchiWe mwamba kitambo sana, kwema mkuu?
Sio September ?Mwisho wa mwezi huu tuna kibarua cha ngao ya hisani na Liva. Unadhani watakubali kuchinjwa mara ya pili? Au Arsenal iharibu sherehe ya ubingwa?
Ni jingine la kulisubiri hili
Niko Dsm nahitaji XXLKwema kaka
Jezi zimekuwa adimu sana , zikija,oda inakuwa kubwa zinaisha fasta
Sasa niambie unavaa Size gani, ili zikija tu niweke pembeni
Na uniambie upo mkoa gani, kama Dar itakuwa fresh
Poa kaka kesho nitawapa jibu maana hizi jezi zikitua tu zinaisha ,Nami nahitaji Jezi Goooner Fans. Tumetinga kibabe. Wolves na Totteham watajijuu
Sawa kaka nitakujuza mapema keshoNiko Dsm nahitaji XXL