Arsenal (The Gunners) | Special Thread

While i essentially appreciate your analysis tunahitaji wachezaji wa maana hasa kutoa support kwa Auba kama atabaki anyway...na Beki imara come next season. Otherwise Arteta is a promising Manager so far.
 

Ujumbe umeondoka London jioni hii kwenda Ureno.

Wapo wachezaji wawili wanafuatiliwa Danillo nahodha wa Porto na huyu Fernandez.

Pili, Barcelona wanafikiria kugawana na Arsenal mshahara wa Philippe Coutinho ili aende kwa mkopo.

Na tatu ambayo ni ya jikoni kabisa ni kwamba Arsenal wamewafahamisha Watford kwamba wanataka kumsajili mchezaji wao wa kiungo Abdoulaye Doucoure.

Watford hawana ujanja itabidi safari hii wakubali kuzingatia wameshuka daraja.

Doucore ni bora zaidi kuliko Danilo au Patey kwani ana uzoefu wa ligi ya Uingereza.

Ngoja tuangalie mipango yaendaje.
 
Huyu kipa sioni haja ya kumtoa kwa kiwango chake kwa sasa.
Leno akipona asotee benchi tu kwanza huyu mwana ni ana qualities sana
Hahaha Leno atarud

Sema kawafikirisha makocha , sijui itakuwaje

Ameanza Arsenal kama kinda wa academy.

Amesota sana , kapata nafasi kaitumia
 
Mwisho wa mwezi huu tuna kibarua cha ngao ya hisani na Liva. Unadhani watakubali kuchinjwa mara ya pili? Au Arsenal iharibu sherehe ya ubingwa?

Ni jingine la kulisubiri hili
Aaah hapa penyewe ni issue hamna vifua vya kupimana ubavu na KOP
Ynwa

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
Huyu kipa sioni haja ya kumtoa kwa kiwango chake kwa sasa.
Leno akipona asotee benchi tu kwanza huyu mwana ni ana qualities sana
Hahaha Leno atarud

Sema kawafikirisha makocha , sijui itakuwaje

Ameanza Arsenal kama kinda wa academy.

Amesota sana , kapata nafasi kaitumia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…