Happycuit
JF-Expert Member
- Aug 18, 2013
- 646
- 542
Wewe unajua cha kuandika?Huna lolote sababu hata ukiandika hujui utaandika nn ,![]()
Wewe unajua cha kuandika?Huna lolote sababu hata ukiandika hujui utaandika nn ,![]()
Itoshe kusema Arsenal sio Chelsea,hatutafuti ukubwa kwa kusplash out kwny big names,hiyo ni identity ya Club kaikuta na ndio iliyompa nafasi yeye km mchezaji na pia km kocha.Dah nyie jamaa nadhani tajiri wenu sidhani kama anafuatiliaga uendeshaji wa hii club labda amemwachia mtoto wake wa form 2 aifuatilie, mnanyanyasika sana kwenye maswala ya usajili.
Nadhani pia Arteta amekubaliana na hali halisi ya sera ya usajili Arsenal, matumizi madogo kwenye usajili. Wenger alikuwa mjanja anakuza vipaji anavitumia kupata mafanikio anauza kwa bei nzuri faida kwa club

Kumbuka pia dirisha limefunguliwa juzi tarehe 27 na leo ndio kwanza siku ya 2 so weka akiba ya manenoDah nyie jamaa nadhani tajiri wenu sidhani kama anafuatiliaga uendeshaji wa hii club labda amemwachia mtoto wake wa form 2 aifuatilie, mnanyanyasika sana kwenye maswala ya usajili.
Nadhani pia Arteta amekubaliana na hali halisi ya sera ya usajili Arsenal, matumizi madogo kwenye usajili. Wenger alikuwa mjanja anakuza vipaji anavitumia kupata mafanikio anauza kwa bei nzuri faida kwa club
Mchukueni huyo Coutihno, anaweza rudisha kiwango chake akawasaidia sana.Philippe Coutinho has reportedly changed his mind about Arsenal after initially snubbing an approach from the north London club.skysport
Hakika mkuuMchukueni huyo Coutihno, anaweza rudisha kiwango chake akawasaidia sana.
Ongezea na Willian.
Sema sijui misharaha yao mtaiweza.
Ila kuweni serious toeni £46 mmchukue Partey. Acheni UBAHILI.
Naona msimu ujao mnaweza kufanya vizuri. Kama Sajiri zenu zitaadapt haraka.
Aiseeeeehhhh
Tukishinda FA tunacheza EuropaWasengerema fc mandundule fc asenane fc maandwanga fc au vaizi FC hata Europa![]()
Pumbaaaaa1. Msimu 2019 Man U ilikuwa top 6
2. Msimu huu ilikuwa top 3
3. Msimu wa 2020/2021 Man U itakuwa top 2 (Nafikiri itakuwa ikipambana na Mancity huku ikifuatia Chelsea,Liverpool, Arsenal na Tottenham)
4. Msimu wa 2021/2022 Ma U itafuta Ukame wa miaka 8 bila ubigwa hivyo kutwaa taji laEPL.
5.Kuanzia msimu wa 2022 hadi 2042,,,,,,, (Utawala wa King Man U of Epl utarudi yaani Ferguson alivyoiacha Man u 2013 , basi Ile Domination Legacy itaendelezwa na hali itarudi kama zamani. Yaani from 1992 to 2013 Man u ilbeba 13 EPL for 20 years.
6. Hivyo Man u itaendeleza utawala kuanzia 2022 hadi 2043 with 13 titles for 20 years kama Ferguson alivyofanya.
Sasa ukitoa hiyo 13 titles atakayobeba Man U kwenye miaka 20,,, Hiyo miaka 7 ya ndani kwa ndani ambapo Man U akiwa habebi ,, Timu za Chelsea, Mancity , Liverpool na Arsenal mtatakiwa kukaa na Safu zenu za bodi pamoja na benchi la ufundi mkijadili mtakavyogawana kila mmoja taji kwenye hiyo miaka 7 tuliyowaachia, Yaani kama mlivyojadili from 1992 to 2013 huku maisha yakiendelea na babu Ferguson akifanya yake.
Sasa kama kuna mpinzani anayebishi wewe Screenshot hii message na tutakuwa tukikumbushana kila mwisho wa msimu kila lengo likiwa linatimia.
Kabisa mkuu,After what happened in Baku, I'm not getting my hopes up. But if we manage to win on Saturday, it could be massive - not just for additional finances due to EL qualification, the confidence we can gain after winning a trophy as a squad will really help us going into next season.


Tunazidi kuimarisha rekodi yetu juu ya kombe hili, na kuzidi kuing'arisha London kupitia sisi,OFFICIAL: The Community Shield will take place on Saturday August 29th.
Liverpool will face Chelsea.
ENGLISH_PREMIER_LEAGUE_updateView attachment 1521355




Hamuwezi kushinda mchezo huo, believe me.Tukishinda FA tunacheza Europa