computerarsenal
JF-Expert Member
- Jan 27, 2020
- 3,479
- 6,039
Kushabikia Arsenal ni kujitafutia ugonjwa wa moyo hata Watford naye anataka kujipatia ujiko kwetu??[emoji21][emoji21][emoji21]
Msimamo wa mwaka gani huu?10th...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji16][emoji16][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] MUACHE KUJIONA TIMU KUBWA...pambaf.View attachment 1517732
Subiri playoff dogoLondon is blue
Sawa mdogo wangu[emoji1616]Siwezi jibizana na taahira
Vituko vngine bana [emoji23][emoji23]1. Msimu 2019 Man U ilikuwa top 6
2. Msimu huu ilikuwa top 3
3. Msimu wa 2020/2021 Man U itakuwa top 2 (Nafikiri itakuwa ikipambana na Mancity huku ikifuatia Chelsea,Liverpool, Arsenal na Tottenham)
4. Msimu wa 2021/2022 Ma U itafuta Ukame wa miaka 8 bila ubigwa hivyo kutwaa taji laEPL.
5.Kuanzia msimu wa 2022 hadi 2042,,,,,,, (Utawala wa King Man U of Epl utarudi yaani Ferguson alivyoiacha Man u 2013 , basi Ile Domination Legacy itaendelezwa na hali itarudi kama zamani. Yaani from 1992 to 2013 Man u ilbeba 13 EPL for 20 years.
6. Hivyo Man u itaendeleza utawala kuanzia 2022 hadi 2043 with 13 titles for 20 years kama Ferguson alivyofanya.
Sasa ukitoa hiyo 13 titles atakayobeba Man U kwenye miaka 20,,, Hiyo miaka 7 ya ndani kwa ndani ambapo Man U akiwa habebi ,, Timu za Chelsea, Mancity , Liverpool na Arsenal mtatakiwa kukaa na Safu zenu za bodi pamoja na benchi la ufundi mkijadili mtakavyogawana kila mmoja taji kwenye hiyo miaka 7 tuliyowaachia, Yaani kama mlivyojadili from 1992 to 2013 huku maisha yakiendelea na babu Ferguson akifanya yake.[emoji2957][emoji2957][emoji2957]
Sasa kama kuna mpinzani anayebishi wewe Screenshot hii message na tutakuwa tukikumbushana kila mwisho wa msimu kila lengo likiwa linatimia.
Hii peleka kwenye Uzi wa man1. Msimu 2019 Man U ilikuwa top 6

[emoji1616]If u hear ur name u enter Champion league class.....
Liverpool..... Present sir!!!!
Man city....... Present sir!!!!
Man utd........ Present sir!!!!
Chelsea.... Present sir!!!!
Leicester! Leicester! Leicester.!!!
Absent sir!!!!
Others leave my school
Sir u did not mention my name
Are u Barca?? No sir
Are u Real madrid?? No sir
Are u PSG?? No sir
Are u Bayern?? No sir
What is ur name?? Sir Arsenal.
Stupid boy, leave my school,Nonsense.[emoji1787][emoji1787]
Itafahamika tu kilaza nani?[emoji1616]
[emoji23][emoji23][emoji1616]
Watu wanasheherekea ubingwa huku kuna kilaza kinasheherekea nafasi ya nne[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1616][emoji1616][emoji1616][emoji1616][emoji1616][emoji1616][emoji1616][emoji1616][emoji1616][emoji1616][emoji1616][emoji1616][emoji1616]
Sasa nani anayeshangilia hapa???? [emoji23][emoji23][emoji23]
Inauma msimu huu mlikua utopolo lakini utafanyaje sasa? Inabidi uvunge kibishi tuSasa nani anayeshangilia hapa???? [emoji23][emoji23][emoji23]