ndio mpira huo mkuu leo kwako kesho kwa mwenzio.ukiona mtu analia lia na refa ndio ushabiki huo baada ya kukosa ulichokitaka si unajua hata makocha nao wanatabia hio sio mashabiki peke yao.
hatuna zaidi ya kulia lia fifa hawataki technology kwenye mchezo wao lol.