Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Sawiah, umemaliza kila kitu
 
Sawa mkuu, lakini sidhani kama tunawapita nyinyi kule jukwaani kwenu kwa mimajimaji😂😂😂😂

Haters bwana😂😂😂 duh.

Nimemuuliza Castr swali, baada ya yeye kulalamika kwamba mnamaliza MB zake kwa kuomba ufafanuzi wa kitu kimoja mara nyingi.

Which means mnachelewa kuelewa anachofafanua.
 
😂😂😂😂😂 Alafu mtu a nakuja kusema hii ni bahati kheeeeee kheeeeee kheeeeeeeee
 
Kwanini mkuu? dah umenifanya nicheke Sana, Sina Hata interest na siasa ndugu yangu,
Naona uko vizuri kwenye kucounter mada. Kiukweli kama unaweza zuga hata na udiwani. Yaani counter zako za mada ni zile hazijibu mada ila unampa mleta mada kitu kipya cha kujadili.
 
Kwa atakaye kuja fainali namna ya kutufunga ni moja, afunge goli nyingi kutuzidi sisi ila sio kuzuia nyuki na ukicheki Auba yupo fire na Lacca amerudi form nw.
Sisi tunakupiga za fasta afu tunajaza beki imeisha hiyo,We ucheze mwingi utajua mwenyewe, tukutane next season
 
Mkishinda mna mwembembwe... Subir mfungwe muone... Mnaanza kocha hawez kupanga kikosi

Mara wachezaji wetu sio wa ushindani.. Ila all in all hongereni sana
 
Nimemuuliza Castr swali, baada ya yeye kulalamika kwamba mnamaliza MB zake kwa kuomba ufafanuzi wa kitu kimoja mara nyingi.

Which means mnachelewa kuelewa anachofafanua.
Kwa kuchelewa na kushindwa kuelewa umuhimu wa Henderson pale Liver na kila siku Klopp anawapa clues na kuwauliza maswali ya multiple choice kila wiki Ina maana nyie mtakuwa mmeadvance mimajimaji😂😂😂😂
Yani maProf wa maji hahahahaaaaaa,

Kwakifupi hakuna aliyeomba ufafanuzi,
 
Hatuna cha kupoteza
 
''While Pierre-Emerick Aubameyang was the hero at the other end with the two goals, Luiz put in a superb display, getting his head to many crosses and making one noticeable block from a Sterling effort. The Brazilian centre-back made a disastrous cameo just over a month ago in the Premier League against Pep Guardiola's side, gifting Raheem Sterling the opening goal right on half time before managing to get himself sent off for a last-man challenge on Riyad Mahrez. But following his Wembley heroics a month on, Luiz appeared to want to set the record straight, and stated he used his experience to come back from that nightmare situation at the Etihad.''

Wacha timu ijengwe na vijana wetu wa zamani tutafika tu. Kwenye fainali ni kujipanga vizuri tu. Hii itawapa motisha hasa baada ya kuwatoa kamasi Loserfools na Mancs.
 
Mkishinda mna mwembembwe... Subir mfungwe muone... Mnaanza kocha hawez kupanga kikosi

Mara wachezaji wetu sio wa ushindani.. Ila all in all hongereni sana
Hata Jana tumeshinda ila tulidought sub ya Willock😂😂🔥
 
Timu itasimama tu
 
Naona uko vizuri kwenye kucounter mada. Kiukweli kama unaweza zuga hata na udiwani. Yaani counter zako za mada ni zile hazijibu mada ila unampa mleta mada kitu kipya cha kujadili.
Unavyokuja ndio unavyopokelewa mkuu, utaombaje nyoka upewe samaki?

Sasa kama mtu majibu anayo mwenyewe lakini anajitoa akili kwanini asipewe assignment nyingine!!!
 
Sahihi kabisa. Nothing to add
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…