Nikiwa naijaj Arseanl hua naifananisha na Arsenal ambayo Granit alikua ni mpiga pasi nyingi kuliko mchezaji yeyote premier league.
Arsenal iliyokua inamiliki mpira na kufunguka.
Game ya Liva tulishinda ila Liva alimiliki mpira kwa 80% leo tumeshinda ila tumechezeshwa mno nusu uwanja.
Kwahiyo nikisema ushindi wetu ni wa bahati ni kwa mazingira hayo
Hapa Hakuna bahati ni tactics
Lbd km tunatofautiana kutafsili neno bahati kwenye soka. Neno bahati kwenye soka huja tu pale timu moja inapokuwa inafanya makosa mengi lkn timu pinzani inashindwa kutumia nafasi za hayo makosa kuscore.Chief mimi nimesema Arsenal kuscore ilikua plan ila City kutukosa ndiyo bahati yenyewe.
Jana hata VAR imekua upande wetu.
Sijui wewe shabiki wa timu gani ila msimu uliopita Arsenal tulicheza na Man u tukatok sare ya mbili mbili. Uliona Arsenal ilivyomtafuta Man U?
Mashuti, mipango, technic n.k. so Man U akaokoka na wote tukaja humu kusema bahati haikua yetu as we put everything on the line.
Jana City kafanya na kahustle kama Arsenal alivyohustle ile siku na Man U na City hajashinda, kwanini tusione ni bahati yetu wao kufeli kila plan yao?
Yaani bando langu la 500 mnataka liishe kuwaelezea kitu kimoja tu? Msinifanyie hivyo.
Castr, ushindi wa Arsenal ni wa bahati...kinyume cha bahati ni mipango
Unless uniambie plan yenu ilikuwa ni kupata bahati
Sawa mkuu, lakini sidhani kama tunawapita nyinyi kule jukwaani kwenu kwa mimajimaji😂😂😂😂Unataka kusema humu kuna vichwa maji?
Arsenal tunanufaika sana na kasi ya Pepe na Auba kwnye kupress, na mara nyingi makosa yanafanywa na Opponent kama CF atakuwa dogo Nketiah anaspeed piaMimi bado nashangaa tu wanaodai Tunazawadiwa magoli ya bahati ,
Naam
Leo ni Game Kama ya 5 Nashuhudia Arsenal Wakinufaika na Magoli ya Kukabia Juu yaan Pressing Ambayo Nadhani Wengi Wetu Wanadhani Wapinzani Wanakosea Bahati Mbaya
Hiki ni Kitu Wanafanyia Sana Mazoezi na Nafikiri Kadri muda Unavyokwenda Kinazidi Kutunufaisha Maana Kuweza Kumpokonya Mpira Mpinzani Kwenye Eneo Lake ni Rahisi Sana Kumuadhibu Maana Kwanza Anakuwa Hayupo Kwenye Eneo Sahihi na Huku Mhusika Ukiwa Karibu na Goli
Mara Nyingi Sana Liverpool na Man City Wamenufaika Sana na Pressing Katika EpL sababu Kubwa Ikiwa ni Namna ya Ku press na ikumbukwe Si Kila Team inaweza Kufanya Hivi kwa Ufasaha.
Yapo juu hapo vuta uzi mkuu uone magoli ya bahatiOya wekeni magoli ya Jana basi
Boss tena hili nitalisimamia ni kweli game na Liva hakukua na plan ya ushindi. Tofauti na jana.Castr, komenti yako kuhusu plan ya Arsenal, hapa umelalamika kukosa plan
Hahaha hapana nimemaanisha wapo wengi watakuja kuuliza kitu ambacho nishajibu.Unataka kusema humu kuna vichwa maji?
Kuna msemo wa "Fortune favors the brave".
Bahati haiji tu bila mipango.
Nimekuelewa baba. Siku njemaLbd km tunatofautiana kutafsili neno bahati kwenye soka. Neno bahati kwenye soka huja tu pale timu moja inapokuwa inafanya makosa mengi lkn timu pinzani inashindwa kutumia nafasi za hayo makosa kuscore.
Mfano kwa mechi ya jana kama arsenal wangefanya makosa mengi na city wakakosa nafasi za wazi hapo tungesema arsenal walikuwa na bahati lkn badala yake city hawakupata clear chance to score. Kwa maana hiyo hatuwezi sema arsenal alikuwa na bahati kwa kutofutwa na city. Nadhani unaweza kuwa umenielewa kiongozi
Arteta anaijenga timu na naamini endapo atapewa wachezaji wenye quality anayoitaka tutakuwa vema, kila jambo kwa hatuaBoss tena hili nitalisimamia ni kweli game na Liva hakukua na plan ya ushindi. Tofauti na jana.
Magoli tuliyoscore jana tungescore same goals kwa Liva ningekukubalia kua tumepaki basi ila techs zimetupa points.
Ila jana magoli yetu yalikua planned. Cross na through pass zimetupa magoli ukiachia hivyo kuna through pass Auba alihisi ni off side akashut as a last resort, Pepe alipigiwa through pass ukamgonga kisiginoni akijiandaa kusprint, whereby angefanikiwa angebaki yeye na kipa, pia Auba alimpa Pepe pasi nje ya 6 ila Pepe akachelewa kuufuata.
So jana tulikua na vision kuliko game ya Liva. Kwa Liva magoli yote yalikua mtu katoa pasi hovyo na Laca akapokea. Ndiyo nikauliza bila vile kulikua na plan nyingine iliyoonekana? Na hakuna aliyejibu.
Tena Hao ndio tunawatakaKwa ule mpira na makosa mliofanya jana.basi ombeni sana fainal mkutane na chelsea na sio united
Tuwe serious. Hivi wewe haushiki nafasi yoyote ya kisiasa hapa nchini?Arteta anaijenga timu na naamini endapo atapewa wachezaji wenye quality anayoitaka tutakuwa vema, kila jambo kwa hatua
Boss tena hili nitalisimamia ni kweli game na Liva hakukua na plan ya ushindi. Tofauti na jana.
Magoli tuliyoscore jana tungescore same goals kwa Liva ningekukubalia kua tumepaki basi ila techs zimetupa points.
Ila jana magoli yetu yalikua planned. Cross na through pass zimetupa magoli ukiachia hivyo kuna through pass Auba alihisi ni off side akashut as a last resort, Pepe alipigiwa through pass ukamgonga kisiginoni akijiandaa kusprint, whereby angefanikiwa angebaki yeye na kipa, pia Auba alimpa Pepe pasi nje ya 6 ila Pepe akachelewa kuufuata.
So jana tulikua na vision kuliko game ya Liva. Kwa Liva magoli yote yalikua mtu katoa pasi hovyo na Laca akapokea. Ndiyo nikauliza bila vile kulikua na plan nyingine iliyoonekana? Na hakuna aliyejibu.
😂😂😂😂Kwanini mkuu? dah umenifanya nicheke Sana, Sina Hata interest na siasa ndugu yangu,Tuwe serious. Hivi wewe haushiki nafasi yoyote ya kisiasa hapa nchini?