Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,723
Kazi ya Niles Jana ilikuwa kudeal na mahrez tuKuna low cross ilipigwa na Mendy nafikiri Tierney aliintercept vizuri maana ilikua inamkuta Sterling.
Cross alizopiga Niles nikatamani angekua anazipiga Tierney.
Huyu LB naye ni miongoni mwa great signings, kwa sasa.
Kiongozi wewe unatofautiana na watu kwa kusema ushindi wa jana ilikuwa bahati kitu ambacho siyo cha kweli kwa mtu anaejua mpira.Hahaha sasa hapo ndipo watatofautiana na mimi sana. Kwasababu kuna mmoja hapo kaandika "... wenzako wanawaza fainali.."
Lakini muulize kama anajua kuna nafasi tatu za magoli zilijitokeza, moja ya Auba na mbili za Pepe kama aliziona.
Mkumbushe kua Mustafi alitoa boko kwa Sterling kuunasa mpira ndani ya 6 na kudondoka juu.
Mkumbushe kua Bellerin alitoa pasi kwa Sterling nje kidogo ya 18.
Mashuti ya Sterling, Mahrez, Foden, DeBruyne, Laporte, Mendy, Silva, Gundogan na mengine yamepigwa ndani ya 18, nje ya 6 na nje kidogo ya 18.
Watu wa hivi hua wanaona ushindi tu mengine yote wanayavalia miwani ya mbao.
So umejudge kwa hii mechi 1? Unajua kwanini timu kubwa hua zinabakwa goli nyingi bila kutegemea?Man Utd&Chelsea wamefunga magoli mengi kuliko Arsenal msimu huu, na moja kati ya sifa ya timu inayopaki bus, huwa hafungi magoli mengi
Kwenye ligi United ana goal differences 28, Chelsea ana 15 na Arsenal ana 8
Mwisho naomba ni attach conv. yenu kuhusu uchezaji wenu View attachment 1510812View attachment 1510813
No unakosea mkuu, Hakuna anayejistukiaMnajishtukia tu.
Ila jamii ya HALISI huwa mko so insecure, hamtaki makosa yajadiliwe.
Unazi ni kutetea hata makosaKwani Aaron siyo mnazi?
Unazi ni kutetea hata makosa
Kule kwenu napenda huwa mpo honest kuelezea mapungufu na mazuri ya timu yenu
Sisi tunasema hapa Kwa sasa hatuna Quality players waku battle na Liverpool au city ,
Hata Arteta amekuwa akisema , hivo lazima tucheze tactical tu, kupata matokeo
Lakini mtu anakomaa ni bahati Mara Liverpool walituzawadia magoli
Wakati tumefunga magoli kama hayo matano , hii ni dhahiri sio bahati ila ni tactical zenye mazoezi
View attachment 1510825
Chief mimi nimesema Arsenal kuscore ilikua plan ila City kutukosa ndiyo bahati yenyewe.Kiongozi wewe unatofautiana na watu kwa kusema ushindi wa jana ilikuwa bahati kitu ambacho siyo cha kweli kwa mtu anaejua mpira.
Ukiondoa makosa ya mustafi na bellelini beki hazikufanya makosa na ndiyo maana pamoja na hayo makosa bado beki zilikaba kwa nidhamu ili kuzuia athari za makosa ya wenzao.
Pia unapoongelea mashuti yaliyopigwa na hao watu uliyoyatarajia ni mashuti mawili tu yalilenga goli mengine yote yalizuiliwa na mabeki na mengine yalienda nje lkn kwa upande wa arsenal walipiga mashuti manne na yote yalilenga goli. Sasa hapo bahati ilitoka wapi??? Hapo ndipo unapotofautiana na watu
Wewe tunakunyuka na mpira tunauchezaMan Utd&Chelsea wamefunga magoli mengi kuliko Arsenal msimu huu, na moja kati ya sifa ya timu inayopaki bus, huwa hafungi magoli mengi
Kwenye ligi United ana goal differences 28, Chelsea ana 15 na Arsenal ana 8
Mwisho naomba ni attach conv. yenu kuhusu uchezaji wenu View attachment 1510812View attachment 1510813
Huu ni ubishi Sasa.Okay, naomba nifanye kwamba nimekuelewa.
So umejudge kwa hii mechi 1? Unajua kwanini timu kubwa hua zinabakwa goli nyingi bila kutegemea?
Unakumbuka Brazil alipigwa 7 na uJerumani? Arsenal ya Wenger kwa Barcelona? Barcelona kwa Bayern?
Haya tulia hapo kwanza.
Jingi Sana Hilo mzee, we endelea kupig a darasa tuChief mimi nimesema Arsenal kuscore ilikua plan ila City kutukosa ndiyo bahati yenyewe.
Jana hata VAR imekua upande wetu.
Sijui wewe shabiki wa timu gani ila msimu uliopita Arsenal tulicheza na Man u tukatok sare ya mbili mbili. Uliona Arsenal ilivyomtafuta Man U?
Mashuti, mipango, technic n.k. so Man U akaokoka na wote tukaja humu kusema bahati haikua yetu as we put everything on the line.
Jana City kafanya na kahustle kama Arsenal alivyohustle ile siku na Man U na City hajashinda, kwanini tusione ni bahati yetu wao kufeli kila plan yao?
Yaani bando langu la 500 mnataka liishe kuwaelezea kitu kimoja tu? Msinifanyie hivyo.
Ile cut in ya Mahrez hadi nilisimama ila Martinez akasema "Tulia wewe" I hope hizi cut in Pepe anajifunza zaidi. Messi, Roben, Salah, Mahrez wamezimaster.Kazi ya Niles Jana ilikuwa kudeal na mahrez tu
Arteta alishtuka game na wolves ,Adama alitusumbua sana, hasa anapocheza na mtu mwenye mguu wa kushoto ,alipoingia Niles ukawa mwisho wa Adama
Sasa Jana Upande wa kushoto city , wana mahrez ,Bernardo na foden
So direct Arteta akamuacha nje Saka na Kola ambao wanatumia Left foot na kumtumia Niles ambaye ni right footer.,ambaye kwenye One against one , Hawapiti kirahis
Mahrez alifanikiwa Ku cut in moja na ndio shuti on target pekee la city .
Akaingia foden ,naye akahama upande
Hii tactical , shida ilikuja ule upande ni mzuri kupiga kross kwa left footer ,ndio maana Niles kross zake hazikuwa na macho.
Huu ni ubishi Sasa.
Aliyekwambia tunashinda bila plan nani huyo? Wewe jichanganye kilichowakuta wenzio kitakukuta, mwanakulitaka....Unaji contradict mkuu, wewe mwenyewe unalalamika timu ina shinda bila plan, kama unajua mmeshinda bila plan kwa mechi 1 au 2 (japo wewe umesema 1) kwanini sasa unailalamikia Arsenal yako? Au ukisema wewe ni sawa, jambo hilo hilo akilisema mtu mwingine si sawa?
Pia, umeuliza kama wapaki basi ni Arsenal au Chelsea au United, nimekujibu kwa vielelezo kuonesha timu gani inashambulia zaidi (kumbuka, huwezi kupata magoli mengi kama hushambulii)
Nimetulia hapa hapa
Mbona comment yangu imekuuliza kama umehukumu kwa mechi moja? Yaani kwakua jana umeona ile mechi ndiyo umekuja na conclusion 'best parking team in the world'?Unaji contradict mkuu, wewe mwenyewe unalalamika timu ina shinda bila plan, kama unajua mmeshinda bila plan kwa mechi 1 au 2 (japo wewe umesema 1) kwanini sasa unailalamikia Arsenal yako? Au ukisema wewe ni sawa, jambo hilo hilo akilisema mtu mwingine si sawa?
Pia, umeuliza kama wapaki basi ni Arsenal au Chelsea au United, nimekujibu kwa vielelezo kuonesha timu gani inashambulia zaidi (kumbuka, huwezi kupata magoli mengi kama hushambulii)
Nimetulia hapa hapa
Wazee mimi nashabikia mpira as a whole, sibinywi na kua shabiki wa Arsenal.
Kuna vitu vingi hua watu wanavibypass simply kwakua utimu umewashika. Kuna member mmoja alikua anaponda formation ya 3 4 1 2 na nikawa namuambia kwanini tumeresort kwenye hiyo.
Leo Arteta anatumia hiyo hiyo na anaipigia debe kwa nguvu zote. Mara zote mimi hujaribu kuona zaidi ya ushabiki.
Kama ni mbinu ile mechi na Liva bila Virgil kupiga back pass tuliku na plan nyingine? Uliweza kuhisi kama kuna plan pale?
Anyway kila mtu yuko entitled na mawazo yake
Humu nikileta masikhara mb 500 za 500 zitaisha hapa hapa mi nawaacha bwana. Tukutane baadaye.