Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Unajibinya mwenyew mkuu, Hakuna anayeendekeza utimu, tungeendekeza utimu tungesema Arsenal ni bora kuliko Liver na City ila kwa sasa hivi ukweli ulivyo ubora wa wachezaji wetu huezi fananisha na Hao wenzetu wametuzidi pakubwa.
Hivi hawa viungo wetu yupi anawez a kuanza pale City? Kwa kulitambua Hilo lazima uwe na plan ya ushindi, ondoa suala LA bahati hapo Ile ni vita.
 
Mpira ni tactics mkuu, hatuwezi kucheza kwa namna moja kila mechi tukategemea ushindi. Game plan inategemea na timu pinzani ilivyo, hivyo hubadilika.

Kipindi cha mzee Wenger tulikua tunafungika kirahisi sababu tulikua tunatabirika sana na mbinu zilikua ni zile zile hata Unai Emery nae alifeli kwenye hilo.

Kwenye swala la kubadilika kimbinu (game plan) Arteta anajitahidi so far, anawasoma timu pinzani na kuja na mbinu nzuri. Pia amekiri mara kadhaa kwa timu ambazo zinatuzidi quality hawezi kushindana nao ku-possess hadi pale atakapopata wachezaji wenye quality.
 
Mkuu kwenye mpira hakunaga bahati kabisa. Ukishinda ni umeshinda na ukifungwa umefungwa hizo mistakes unazosema ni sehemu ya mchezo. Ndio maana kuna msemo wa mpira ni mchezo wa makosa. Mistakes mlizofanya wao wameshindwa kuzitumia na pia kile mlichokipata leo mmekihangaikia hamjabahatisha.
 
Ila we jamaa bwana.

City katushambulia.

Kapiga shots.

Mustafi katoa boko.

Bellerini katoa boko.

VAR imetuachia (nimeshangaa)

Martinez kaokoa shot pekee on target ya Mahrez ambayo ilionyesha ingekua goli.

Sterling, Silva, Laporte, Foden, Debruyne, Mendy, wote hawa mashuti yao ama yalipaa au yalimgonga mtu yakatoka nje.

Unataka bahati gani zaidi ya hii?

Wakati hayo yanatokea ulikua unafumba macho?
 
Tulimis haya mambo mzee, mapicbapicha na vile vicheko, watu walikuwa wanaliona chungu hili jukwaa kheeeeeeeee kheeeeeeeee kheeeeeeeee kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
There have been so many impressive perfromances from the Arsenal players.

Yes, Aubameyang got the goals but they have defended brilliantly.

I've never seen Granit Xhaka play like this for Arsenal. Tierney, what a signing he has been
A lot of credit for the win today should go to AMN. It was a very technical call by Arteta and it paid off
 
Mdau anataka ule mpira wa kufunguka mposses sana yaani.
Sasa umchezee liva au city hivyo na wachezaji wetu hawa si unatafuta kifo tu.
Aelewe kuna plan A,plan B,plan C n.k unaweza tumia yoyote kutegemeana na timu utakayokutana nayo.
 
I don't agree with you bro.

I think techniques za Arteta na bench lake la ufundi ndio vimefanya kazi .

Comment yako kuhusu Guendouzi ntaijibu
 
 
Hakika.

Na kama nlivyosema ushindi wa Leo AMN anastahili pongezi sana.

Game ilipoisha alipokuwa na David Luiz haieleweki alikuwa analia au kulitokea nini lakini yapo ambayo David Luiz ameongea nae
 
Wewe una shida si Bure,
Unaongea as if wewe pekee ndio unamiliki TV😂😂😂😂😂Kwahiyo hujaona Mustafi kama alicheza Mpira? Au unafikiri kila linaloangaliwa na VAR basi ni kosa? Kama ni kutoa maboko kwani City wao hawajatoa maboko?
Mukilewa musiwe mnaingia JF
 
Anazingua huyo
Amsikilize Carrager hapa labda atamuelewa ,maana kina sisi hatuelewi

Jimmy Carragher .. "When Arteta joined Arsenal, everyone expected to offer Pep Guardiola every week. But Arsenal don't have the players for that yet ... so he changed the look and modified his idea to beat the best two teams in the country in 4 days. This is the wonderful management."
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…