Timu yetu ipo vizuri kwenye attacking tu,ila midfield na eneo lote la ulinzi ni majanga makubwaAngalia hii kitu.
Nikiongea na mashabiki wenzangu hata wa timu pinzani tunakubaliana kua Henderson akiwepo Liva ikicheza ni ngumu Liva kufungwa.
Pia tunakubaliana kua Kante anastabilize timu pale kati kwa Chelsea na kusaidia timu ikae na mpira na hata ukipotea waurudishe kwa haraka.
Ila mimi nikisema Arsenal hatuna shida ya beki tatizo letu ni kiungo wote wanakataa. Kwamba mnadhani Arsenal ina kiungo cha hatari kwa timu pinzani? In terms of attacking na defense?
Henderson akicheza timu ikiwa inashambuliwa jua kua yeye na Fabinho wanarudi kusapoti mabeki wanne. Yaani kwa kifupi ghafla kunakua na watu 6 wakikuzuia usiende kuscore. Wijnaldum ni attacker zaidi kuliko mlinzi.
Same kwa Chelsea na Kante na Jorginho wao.
Sisi tuna nani? Xhaka ambaye confidence imepungua. Guendouz, rafiki yake Relief Mirzska huyu hana stamina, speed na control na amekua na dharau siku hizi, Ceballos ni mzuri ila uzoefu hakuna, Torreira ambaye majeruhi humuandama na hana consistency.
Hua sielewi wanakua wanawaza nini wanaopinga.
Jukwaa limekumiss hili mkuu,uwe unakuja japo kutia baraka zako kidogo[emoji23]..Mkuu si unajua tena tangu Pof alipoondoka wengine tulichukia likizo lakini karibu itaisha. Tupo tunachungulia kwa chati. Khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
@Castr naomba nichangie na Mimi kidogoAngalia hii kitu.
Nikiongea na mashabiki wenzangu hata wa timu pinzani tunakubaliana kua Henderson akiwepo Liva ikicheza ni ngumu Liva kufungwa.
Pia tunakubaliana kua Kante anastabilize timu pale kati kwa Chelsea na kusaidia timu ikae na mpira na hata ukipotea waurudishe kwa haraka.
Ila mimi nikisema Arsenal hatuna shida ya beki tatizo letu ni kiungo wote wanakataa. Kwamba mnadhani Arsenal ina kiungo cha hatari kwa timu pinzani? In terms of attacking na defense?
Henderson akicheza timu ikiwa inashambuliwa jua kua yeye na Fabinho wanarudi kusapoti mabeki wanne. Yaani kwa kifupi ghafla kunakua na watu 6 wakikuzuia usiende kuscore. Wijnaldum ni attacker zaidi kuliko mlinzi.
Same kwa Chelsea na Kante na Jorginho wao.
Sisi tuna nani? Xhaka ambaye confidence imepungua. Guendouz, rafiki yake Relief Mirzska huyu hana stamina, speed na control na amekua na dharau siku hizi, Ceballos ni mzuri ila uzoefu hakuna, Torreira ambaye majeruhi humuandama na hana consistency.
Hua sielewi wanakua wanawaza nini wanaopinga.
Halafu umemsahau na Pablo Mari. Xhaka hakua akimuamini Torreira kumuachia dimba ili yeye aende mbele.@Castr naomba nichangie na Mimi kidogo
Toka amekuja Arteta , Eneo la beki limeimarika ,hasa sababu tumekuwa na mfumo unaoeleweka ,kilichobaki ni kukosa ile Quality ya mchezaji,
Mfano beki za pembeni Yule Kieran Tierny ,ni Quality player kuanzia commitment, n.k bado pia Saka ni backup nzuri huu upande
Upande wa kulia bellerin kashuka sana , sababu nadhan ni ile ACL , Cedric sio mbaya wanapeana challenge na belle ,
Mabeki wa kati ndipo panahitajika ongezeko ,
Mustafi amekuwa msaada toka aje Arteta ,hata holding ameimarika tena baada ya kutoka majeruhi ya ACL ambayo wachezaj wengi huwa hawarud kwenye viwango vyao vya awali.
Luiz ,kola,sokratis hawa ndio wamekuwa na matatizo ya kutoku concentrate na mchezo, mech na Spurz ,kosa la Kola ndio limesababisha kufungwa ,
Ujio wa Saliba na ongezeko la beki mmoja litasaidia sana
Maana tutakuwa na Angalau Quality ya kutosha eneo la beki, huku luiz akitumika muda mchache
Nije eneo la kiungo , Xhaka ndio muhimili wa timu ,huyu piga ua tunauhitaji sana , ndiye atakayeungana na viungo wajao ,kina Partey ,n.k
Toreira aliharibiwa na Unai, alipokuja Arteta ,alihitaji kiungo wa kucheza na Xhaka awe na uwezo wa kupiga pass mbele ,sio wa kudefend zaidi
Ndio maana Ceballos akapata nafas zaid hata kabla Toreira hajaumia ,lakini unapohitaji mech za kukaba sana mwanzo mwisho ,toreira ndio kaz zake ,rejea mech ya Liverpool juzi,
Ceballos hana uzoefu sana, lakini ni aina ya kiungo mzuri sana , sema Arteta anamtumia sana chini ,juu anamuweka Xhaka,Ceballos anatumika kama DLP(Deep lying playmaker)
Awe anafanya clearance , kudefend na kupiga forward passes mbele ,na hii kaz kaiweza
Shida inakuja kwa aina ya soka la Xhaka , sio mnyumbulifu ,ndio maana tunamis ufund wa kina Nasri, carzola , Uncle Tommy,Hleb
Xhaka anajua kupiga Range pass tu,
Ndio sababu Bodi inamuhitaji Partey, Roca au Dominic
Kwahiyo shida kubwa eneo la kiungo hatuna ubunifu, ndio maana viungo wetu uchangiaji wao wa magoli ni mdogo sana
Arteta anajiandaa kutumia 4-3-3
Hapo tutapata uchangiaji mkubwa wa magoli kutoka viungo .
Huwa sipendi sana kumjumuisha Dani kwasababu future yake haisomeki katika clubHalafu umemsahau na Pablo Mari. Xhaka hakua akimuamini Torreira kumuachia dimba ili yeye aende mbele.
Hebu ona hapa. A quality Torreira acheze DMF wa kati, Xhaka acheze kama CMF wa kulia na Ceballos CMF wa kushoto. and tunaassume wote wapo katika form na wapo committed, utayaona makosa ya Sokratis au Luiz?
Huwezi kuona, Torreira ni destroyer hupiti bila kukuintercept, Xhaka ni anaweza kuhold vizuri mno, Ceballos ni playmaker na uwezo wa kukaa na mpira na kutembea nao. So katika mechi kumi makosa ya Luiz na Kola utayaona katika mechi mbili.
Ndiyo sababu mimi sijawahi kuamini kua tuna tatizo la beki.
Alaba anajiishia zake na majeruhi muache kwanza.Kwa beki ya Mustafi,Saed na Sokratic hatutoboi hawa ilibidi wauzwe, yule Kurzawa umefanyika uzembe ila angetufaa sana ni jeshi sana lile,
Kuna watu hawa tungewapata katika eneo la kiungo tungeimarika sana,
Thiago Alcantara
Coutinho
Partey
Sbozlai
Kuna wachezaji ambao ni simple sana kuwapata sokoni na wakakupa kile unachohitaji katika timu,sababu wana quality
Tolisso
Partey
Dominic
Alaba- huyu jamaa ni bonge la kiraka aiseeeh
Hahaha ujinga ni kwamba akishine Madrid watamng'ang'ania labda yeye awakazieHuwa sipendi sana kumjumuisha Dani kwasababu future yake haisomeki katika club
Kwa jinsi hali ilivyo ,Kwa beki ya Mustafi,Saed na Sokratic hatutoboi hawa ilibidi wauzwe, yule Kurzawa umefanyika uzembe ila angetufaa sana ni jeshi sana lile,
Kuna watu hawa tungewapata katika eneo la kiungo tungeimarika sana,
Thiago Alcantara
Coutinho
Partey
Sbozlai
Kuna wachezaji ambao ni simple sana kuwapata sokoni na wakakupa kile unachohitaji katika timu,sababu wana quality
Tolisso
Partey
Dominic
Alaba- huyu jamaa ni bonge la kiraka aiseeeh
Asilimia ulizonazo za Partey kuja ndiyo nilizonazo za yeye kutokuja. Mwanzo ripoti zilisema tumekubaliana kila kitu na mchezaji bado timu.Kwa jinsi hali ilivyo ,
Naona tutaleta viungo wawili, hadi sasa naona kwa Partey ni 70% anakuja
Ceballos kubaki ni 50/50
Matteo Guendouz atasepa ,
Arteta amekuwa anadai anahitaji Quality players ,
Nimeona sehemu ,Bodi inasubiri tumalize ligi kwanza , nimeona wamestopisha deal zote kwanza ,
Nimeona watamtumia Kia tumpate Willian na Coutinho
Kama tutampata Willian free na Coutinho loan
Pia tukamnunua Partey na kuongeza beki mmoja ambaye nasikia wanafanya nae mazungumzo ambaye ni Malang Sarr ,
Tukawabakiza Auba & laca , pia Na toreira
Maana Dani atasepa. ,basi tutakuwa na Quality asilimia kubwa
Hapo tuwaondoe Guendouz ,Sokratis ,pia nimesikia Niles anataka kusepa akapate muda wakucheza ,
Bellerin pia kuna tetes anaweza kuuzwa , hapo naona tunaweza kumrudisha Osei Tutu kama backup wasaidiane na Cedric .
Hapo tutakuwa na Angalau na timu ya ushindan ,ukijumlisha na mbinu za Arteta
Ila huyu Willock sijui ana mganga gani , huyu ni wakuuza au mkopo , ila wakija viungo hao hapo juu, itasaidia atafute timu kwa mkopo au asubirie carabao
Asilimia ulizonazo za Partey kuja ndiyo nilizonazo za yeye kutokuja. Mwanzo ripoti zilisema tumekubaliana kila kitu na mchezaji bado timu.
Juzi naona ripoti nyingine zinasema Partey hataki kuondoka. Wakati mwanzo kabisa tuliambiwa amesema anaitaka Arsenal. Kisha nikakutana na ripoti inasema Atletico wamefungua bid ya Partey kwa Arsenal.
Yaani ni miyeyusho miyeyusho tu.
Viungo watakuja ila kwa Partey sipo sure sana. Willian kaongeza mkataba Chelsea, sioni kwanini turisk kumsajili as hadi aje kua free agent na umri utakua umeenda, hapo atastahili kucheza New Castle ya matajiri wapya.