Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,585
Potelea pote, tunajenga timu kwanza maana hata wewe kuna kipindi ulisugua sana tu huku benchi na umetengemaa sasa hivi unatisha .
Wenger kafanya nini tena?Mkuu basi tutafukuza timu nzima.
Lawama zote kwa wenger
Kwanini wasema hivyo na dirisha la usajili halijafungwa?Klopp alitimua timu nzima alipopewa Liverpool?Approach yenu haioneshi kama kweli mnajenga timu.
Binafsi naona harakati zenu siku hizi hazitofautiani na kina Everton, Southampton, Newcastle nk, yaani zile timu ambazo malengo yao ni kuendelea kucheza Premier League.
Kwanini wasema hivyo na dirisha la usajili halijafungwa?Klopp alitimua timu nzima alipopewa Liverpool?
Lazma tuwe na subra, hata nyinyi mlisubiri pia mafanikio yenu hayakuja kama uyoga.
Amani mkuu.Sawa mkuu, tupo pamoja.
Amani mkuu.
You'r welcome 24/7 mwamba, hapa hatutoki hatuhamiSisi tutaendelea kuja kuwacheka mkivurunda.
Hatujali kwamba mnajenga timu wala nini.
Na ni kama popo kweli unamuona kinachompata muda huuLeicester ni kama popo, haeleweki ni timu kubwa au ndogo.
Ila kwa alivyokuwa ametangulia kwa points, ni ajabu sana alivyoshuka mpaka sasa hivi top 4 anaondoka.
Na ni kama popo kweli unamuona kinachompata muda huu
Umefanya makosa hata kum-quote. Huyo ni kuacha li-comment lake alone. Mtu ana akili kama choo cha shimo.Huyu taahira mkiacha kujibu upumbavu wake ataondoka mwenyewe
Umefanya makosa hata kum-quote. Huyo ni kuacha li-comment lake alone. Mtu ana akili kama choo cha shimo.
Hili jamaa halina ustaarabu kabisa yani. Nilimuignore sema nimemwona baada ya mshikaji kumquote tena
Hahaha, pole sana mkuu. Naona umekata tamaa kabisa. Ila Nauhakika kama Arteta atapewa mahitaji yake ataitransform timu into a competitive one.Mkuu basi tutafukuza timu nzima.
Lawama zote kwa wenger
Kuna watu humu uwaambii kitu juu ya Willock na Nketiah, angalau Nketiah na Nelson wana nafuu, lakini huyo wa kwanza, bado sanaIt's over now let's wait for next season ila tatizo lipo kubwa sana je tusipopata hata nafasi ya Europa league wachezaji wakubwa watakubali kuja ?au itabidi tuendelee na hawa kina willock na Nketiah?sioni dira tena kwa sasa
Kama ww ulivyol..wa kimasiha..r .aManyumbu yanaenda champions league kimasihara kabisa wakati tulikuwa tumeachana nao point 5 pekee wakati wa COVID 19,timu yetu sina hata cha kuisemea
Man City yupo CL next season View attachment 1505360