Huyu dogo ile video yake ya kumkatikia kiuno mchezaji mwenzake ilivyosambaa Ole akampiga benchi, mashabiki wakaunga mkono. Sasa timu yenyewe kumbe hata CF haina ikabidi hili punga walirudishe lipate namba. Ndo unaliona linazurura uwanjani na kuzipiga ndondokela kama Origi.
Sasa hivi mshasahau kama mlisema hamtaki mapunga yachezee timu yenu. Shwain