Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

IMG_8359.jpg
 
.@charles_watts:


'Cagigao has been tracking Partey for a number of years and wants to get the deal done. And now, Edu and Mikel Arteta have signed it off. They very much said, let's do this, let's get this deal done.'
 
Alex Saint Maxim huyu jamaa nasikia Arsenal wanamfatilia ,

Aisee jamaa alipokuja alikuwa kama Zaha , sasa hivi amekuwa zaid anatoa assist ,anafunga

Ana miaka 23

Arsenal inaonesha inasaka Wide forward

Hapa kuna Majina kama

Depay

Maxim

Zaha

Said benrahama

Binafsi ningependa kumuona Alex saint Maxim

Kwanini?Anacheza timu ambayo ni inajilinda sana , lakini amekuwa ni msumbufu wanaposhambulia ,newcastle wanamtumia sana kwa Kaunta ,

Imagine anaenda timu inayoshambulia ,

Wakati anafika alikuwa hana end product kubwa , lakini siku zinavyokwenda amekuwa na msaada eneo la mwisho kwa kutoa assist au kufunga .
IMG_20200706_153545.jpg
 
Arsenal hierarchy have signed off on chasing Thomas Partey

All of Arsenals management and board are in agreement to sign Thomas Partey

[@charles_watts]
 
Alex Saint Maxim huyu jamaa nasikia Arsenal wanamfatilia ,

Aisee jamaa alipokuja alikuwa kama Zaha , sasa hivi amekuwa zaid anatoa assist ,anafunga

Ana miaka 23

Arsenal inaonesha inasaka Wide forward

Hapa kuna Majina kama

Depay

Maxim

Zaha

Said benrahama

Binafsi ningependa kumuona Alex saint Maxim

Kwanini?Anacheza timu ambayo ni inajilinda sana , lakini amekuwa ni msumbufu wanaposhambulia ,newcastle wanamtumia sana kwa Kaunta ,

Imagine anaenda timu inayoshambulia ,

Wakati anafika alikuwa hana end product kubwa , lakini siku zinavyokwenda amekuwa na msaada eneo la mwisho kwa kutoa assist au kufunga .View attachment 1499126
Yupo vizuri, alituletea kizazaa sn ile mechi tumewapiga 4, sijui km ulimwona.
 
Per the reliable @BilelGhazi - Alexandre Lacazette could soon leave Arsenal. Inter Milan, but especially Juventus and Atlético Madrid have positioned themselves for signing the player.
 
Arteta:

“This club has to play in Europe. This club has to play in the Champions League. If we don’t have the choice to do that, it’s better to play in the Europa League than not to play in Europe at all. That is my personal opinion.”
 
Matteo Guendouz Kuuzwa au kufanyiwa Swap

Exclusive: Matteo Guendouzi has been training alone since Arsenal defeat at Brighton on June 20. #AFC keen to move on 21yo France midfielder, offering him as swap/sale. Club expected to meet with his reps in coming days.

@TheAthleticUK



David Ornstein
 
Back
Top Bottom