Kakumamoto
JF-Expert Member
- May 6, 2015
- 1,497
- 2,219
Willock akigusa mpira mniambie
Ndio kaasist laca akaweka kambani. Mambo mengine mwachie kocha kaka
Willock akigusa mpira mniambie
View attachment 1497734
View attachment 1497735
Arsenal 1-1 Wolves
Lawro's prediction: 2-0
DMA'S prediction: 0-1
Pana watabiri watatu hapo na Lwro ni mmojawapo.
Leo alitabiri hivyo.
Sasa wadhani najichangamya wapi?
Nenda link hii: Premier League predictions: Lawro looks at this weekend's top-flight games
Unapoleta hoja uwe na facts.
Jana nasikiliza michezo wakaanza kuchambua hii mechi.Kajamaa fulani kakasema mechi itakuwa ngumu na Arsenal wametoka kushinda NNE ila ushindi nampa Wolves.Yaani nilimind nikazima na redio.There is this fool who calls himself Lawro, he predicted two nil for wolves
Yaani mdau hamkubali hajui mchezaji mdogo anavyokuwa anazidi kukomaa.Ndio kaasist laca akaweka kambani. Mambo mengine mwachie kocha kaka
iruhusu nafsi yako ipokee mawazo mengineyo,Jana nasikiliza michezo wakaanza kuchambua hii mechi.Kajamaa fulani kakasema mechi itakuwa ngumu na Arsenal wametoka kushinda NNE ila ushindi nampa Wolves.Yaani nilimind nikazima na redio.
Wauzwe tuArteta akipewa wachezaji wa maana next season tutaongea mengine
Ozil na Matteo bye bye bye
Usiskize redio mbao mkuu, wengi ni mafans wa Man u hawawezi tuombea ushindiJana nasikiliza michezo wakaanza kuchambua hii mechi.Kajamaa fulani kakasema mechi itakuwa ngumu na Arsenal wametoka kushinda NNE ila ushindi nampa Wolves.Yaani nilimind nikazima na redio.

Wapi wewe,hiyo tabia ya kumshukuru Arsenal mmeanza lininawashukuru Arsenal kwa kunipunguzia kasi ya huyu mbweha tuligandana sana ila huyu chelsea ndo mbishi kufa

Tz imejaa wachambuz uchwara wengiJana nasikiliza michezo wakaanza kuchambua hii mechi.Kajamaa fulani kakasema mechi itakuwa ngumu na Arsenal wametoka kushinda NNE ila ushindi nampa Wolves.Yaani nilimind nikazima na redio.
Kwa kweli.Yaani mdau hamkubali hajui mchezaji mdogo anavyokuwa anazidi kukomaa.
Mambo mengine tumuachie Arteta tu kwakweli.
Mm mwenyewe simkubali willockYaani mdau hamkubali hajui mchezaji mdogo anavyokuwa anazidi kukomaa.
Mambo mengine tumuachie Arteta tu kwakweli.
Hili ni kweli nimeona hata mashabiki wakiliongelea.Saka pamoja na kufunga ,ila kule RW hapawez
Angekuwepo Pepe angepata mipira mingi kutoka kwa Soares