Saliba kurudi Arsenal. Hatacheza Fainali
Saint Etienne wamethibitisha kupitia Akaunt Yao, Awali waliomba Aongezewe mkataba wa mkopo ili acheze fainal dhid ya PSG
Arteta alikuwa tayari amekubaliana na hilo swala , lakini taarifa ya muda huu Ni kwamba Arsenal inaonekana wamegoma wakiona watapata hasara ikizingatiwa kuna uchumi kushuka. kwanini?
*Arsenal wakati anamnunua Saliba aliweka kipengere cha Kuwaongezea Saint Etienne €2.5m iwapo atacheza mechi 17 , had sasa amecheza mechi 16 ,hivo akiongezewa mkopo wa muda mfupi na kucheza Fainal ya Cup de France , zitakuwa mechi 17
Kilichotokea Mkataba wa Saliba unaisha 1 July, na mshahara wake analipwa na Arsenal ,
Saint etienne waliomba Mkopo uongezwe huku Arsenal iendelee kumlipa mshahara pia Ijiandae kulipa €2.5m
*Uongozi wa Arsenal umeona ni kutokana na Janga la kiuchumi , Saint etienne Waondoe hicho kipengere na Saliba aruhusiwe na Arsenal kucheza hiyo fainal,
* Saint Etienne Wamegoma , na Arsenal wamekataa ,So William Saliba atarejea Arsenal