Arsenal tuvunje kibubu tusajili wachezaji watatu tu wa bei mbaya,tumpate Partey,tupate center half mmoja matata km Kolibaly kupatner na Saliba na tupate left flank moja ili Auba aingie Central striker, hakika tutatoa ushindani na jezi tutazivaa mchana kweupe.