Haya majamaa yanajifanya hayafuatilii timu yao, yakishinda hii mechi utayaona yanakuja hapa kufanya analysis za uongo na kweli na muendelezo wa vitetesi uchwara.
Mkishinda Mmbaki huko huko tuachieni jukwaa tutawale.
Sasa hapa JF wanaonesha mechi mkuu, mimi Arsenal ikicheza huwa naacha shughuli zangu zote naconcetrate katika game, sasa ulitaka tupige zogo hapa wakati chama lipo uwanjani?