Inawezekana wanagongwa Troy Deeney alisema kila timu ina mchezaji mmoja au ziada wanagongwa, ila timu yetu naona ina zaidi ya wachezaji 5 wanagongwa next match vs southampton hii hatutashinda naapa kwa Mungu kwa kiwango hiki cha dhidi ya Brighton tena timu yenyewe 2020 haijawah kushinda ila wameshinda leo