LONDON IS BLUE
Senior Member
- Feb 26, 2020
- 106
- 129
Tumia akaunti yako ya Milangomitatu, naona unaumia sana kocha wako Emery kufukuzwaARTETA SIO KOCHA KABISA. KOCHA HAJUI KUPANGA KIKOSI, TIMU INASHINDWA KUPIGA SHUTI HATA MOJA LANGONI MWA MAN CITY?
PAMOJA NA KWAMBA TIMU WACHEZAJI WENGI NI MAKAPI LAKINI PIA ARTETA NI BOMU ZAIDI.
ANAFAA KUENDELEA KUWA KOCHA MSAIDIZI, UONGOZI ULIMSHOBOKEA KUMPA KANDARASI YA UKOCHA, BADO SAAANA SIONI TIMU IKIMALIZA NDANI YA TOP 4 MISIMU YOTE CHINI YA ARTETA.
Siku hizi vipi, hauhitaji tena wanaume mkuu????? 🙂 🙂 🙂 🙂 🙂 🙂ARTETA SIO KOCHA KABISA. KOCHA HAJUI KUPANGA KIKOSI, TIMU INASHINDWA KUPIGA SHUTI HATA MOJA LANGONI MWA MAN CITY?
PAMOJA NA KWAMBA TIMU WACHEZAJI WENGI NI MAKAPI LAKINI PIA ARTETA NI BOMU ZAIDI.
ANAFAA KUENDELEA KUWA KOCHA MSAIDIZI, UONGOZI ULIMSHOBOKEA KUMPA KANDARASI YA UKOCHA, BADO SAAANA SIONI TIMU IKIMALIZA NDANI YA TOP 4 MISIMU YOTE CHINI YA ARTETA.
Na miherufi yake mikubwamikubwa anatukaripia tu hapa bila sababu....Tumia akaunti yako ya Milangomitatu, naona unaumia sana kocha wako Emery kufukuzwa
Game ya city imetuua mkuu, leo tulikuwa tuna-tie upWachezaji wa Arsenal tuoneeni huruma CL nafasi ipo wazi kabisa kabisa kesho tukishinda ni point 3 pekee zinabakia
Marehemu alikuwa Muislam swafi..hatukulaza msiba. Tulishazika.
Karibu tupige pilau.
Eneo: Stamford Bridge
Shehe: Timo Werner.
Sent from my SM-G950U1 using JamiiForums mobile app
usiongee sanaa.tunasubiri mechi yenu na man city next week tu si ni tarehe 25/6...?!
Sisi binadamu huwa tuna vituko sana. Yan unategemea kilichokupata wewe kitanipata na mimi?Hao washankupe wanachonga sana kama wao unbeaten kumbe kina bournamouth wamejipigia sana tu
Kabisa mkuuGame ya city imetuua mkuu, leo tulikuwa tuna-tie up