msomi uchwara JF-Expert Member Joined Oct 17, 2017 Posts 4,707 Reaction score 8,844 Jun 18, 2020 #83,281 Underdog
ryana fan JF-Expert Member Joined Apr 27, 2018 Posts 2,632 Reaction score 3,056 Jun 18, 2020 #83,282 Hongereni kurudi uwanjani pia poleni kwa kuanza na kipigo kitakatifu. Nikwepo kwenye mazishi hapo baadae kuwasilisha rambi rambi za wana blues wote
Hongereni kurudi uwanjani pia poleni kwa kuanza na kipigo kitakatifu. Nikwepo kwenye mazishi hapo baadae kuwasilisha rambi rambi za wana blues wote
Viol JF-Expert Member Joined Dec 15, 2009 Posts 25,419 Reaction score 18,341 Jun 18, 2020 #83,283 Kaomba msamaha wakati anahojiwa kwamba "all is my fault"
scrappy JF-Expert Member Joined Apr 8, 2019 Posts 450 Reaction score 566 Jun 18, 2020 #83,284 nilivyoona kikosi tu, sikupoteza muda wangu kuangalia mechi.na ndio matokeo niliyoyategemea
ryana fan JF-Expert Member Joined Apr 27, 2018 Posts 2,632 Reaction score 3,056 Jun 18, 2020 #83,285 scrappy said: nilivyoona kikosi tu, sikupoteza muda wangu kuangalia mechi.na ndio matokeo niliyoyategemea Click to expand... Pole sana
scrappy said: nilivyoona kikosi tu, sikupoteza muda wangu kuangalia mechi.na ndio matokeo niliyoyategemea Click to expand... Pole sana
GenuineMan JF-Expert Member Joined Jun 13, 2017 Posts 7,074 Reaction score 16,393 Jun 18, 2020 #83,286 Twende kazi Tayari
Y Yodoki II JF-Expert Member Joined Oct 17, 2014 Posts 5,517 Reaction score 4,008 Jun 18, 2020 #83,287 Arsenal wamepanga kuwachelewesha Liver ubingwa Sent from my SM-J530F using JamiiForums mobile app
Southern Highland JF-Expert Member Joined Mar 22, 2017 Posts 15,930 Reaction score 27,181 Jun 18, 2020 #83,288 mysterio said: Haya ma*i tuliyochukua Chelsea yanatugharimu tena Click to expand... umenichekesha sana
mysterio said: Haya ma*i tuliyochukua Chelsea yanatugharimu tena Click to expand... umenichekesha sana
Mbimbinho JF-Expert Member Joined Aug 1, 2009 Posts 8,328 Reaction score 7,804 Jun 18, 2020 #83,289 Khaaa!! Wenger tena??? Relief Mirzska said: Alaumiwe Wenger tu hapa hamna jinsi Click to expand...
Mbimbinho JF-Expert Member Joined Aug 1, 2009 Posts 8,328 Reaction score 7,804 Jun 18, 2020 #83,290 Mkuu kutoka 10 hadi 9 huoni kuwa imesogea??? computerarsenal said: That's FACT umeongea tumempamba sana Arteta ila hatusogei tangia aje tulikuwa wa 10 now tupo wa 9 hii timu sijui ina shda gani who is to blame? Click to expand...
Mkuu kutoka 10 hadi 9 huoni kuwa imesogea??? computerarsenal said: That's FACT umeongea tumempamba sana Arteta ila hatusogei tangia aje tulikuwa wa 10 now tupo wa 9 hii timu sijui ina shda gani who is to blame? Click to expand...
DullyJr JF-Expert Member Joined Apr 10, 2011 Posts 13,993 Reaction score 11,871 Jun 18, 2020 #83,291 Don Clericuzio said: Mgonjwa mishipa imeziba, drip za maji hazipiti. Click to expand... Waja mna maneno,khaaaaa
Don Clericuzio said: Mgonjwa mishipa imeziba, drip za maji hazipiti. Click to expand... Waja mna maneno,khaaaaa
DullyJr JF-Expert Member Joined Apr 10, 2011 Posts 13,993 Reaction score 11,871 Jun 18, 2020 #83,292 Penison said: Hata Manchester city wakicheza watu 9 uwanjani hamna uwezo hata wakupata droo Click to expand... Kwani wewe ulikuwa unapenda nani ashinde game ya jana?
Penison said: Hata Manchester city wakicheza watu 9 uwanjani hamna uwezo hata wakupata droo Click to expand... Kwani wewe ulikuwa unapenda nani ashinde game ya jana?
Penison JF-Expert Member Joined Nov 4, 2017 Posts 6,372 Reaction score 12,529 Jun 18, 2020 #83,293 DullyJr said: Kwani wewe ulikuwa unapenda nani ashinde game ya jana? Click to expand... MANCHESTER CITY Mkuu.
DullyJr said: Kwani wewe ulikuwa unapenda nani ashinde game ya jana? Click to expand... MANCHESTER CITY Mkuu.
DullyJr JF-Expert Member Joined Apr 10, 2011 Posts 13,993 Reaction score 11,871 Jun 18, 2020 #83,294 M kathias said: Huo ni uongo unalijua benchi la Leicester wewe Click to expand... Achana nae nae huyo anabwabwaja tu
M kathias said: Huo ni uongo unalijua benchi la Leicester wewe Click to expand... Achana nae nae huyo anabwabwaja tu
mozila firefox JF-Expert Member Joined Dec 9, 2018 Posts 898 Reaction score 1,764 Jun 18, 2020 #83,295 Poleni ndugu, kwani mazishi ni saa ngapi?
Mentor JF-Expert Member Joined Oct 14, 2008 Posts 20,334 Reaction score 23,940 Jun 18, 2020 #83,296 mozila firefox said: Poleni ndugu, kwani mazishi ni saa ngapi? Click to expand... Marehemu alikuwa Muislam swafi..hatukulaza msiba. Tulishazika. Karibu tupige pilau. Eneo: Stamford Bridge Shehe: Timo Werner. Sent from my SM-G950U1 using JamiiForums mobile app
mozila firefox said: Poleni ndugu, kwani mazishi ni saa ngapi? Click to expand... Marehemu alikuwa Muislam swafi..hatukulaza msiba. Tulishazika. Karibu tupige pilau. Eneo: Stamford Bridge Shehe: Timo Werner. Sent from my SM-G950U1 using JamiiForums mobile app
C computerarsenal JF-Expert Member Joined Jan 27, 2020 Posts 3,479 Reaction score 6,033 Jun 18, 2020 #83,297 Mbimbinho said: Mkuu kutoka 10 hadi 9 huoni kuwa imesogea??? Click to expand... Unai ameondoka lini?
DullyJr JF-Expert Member Joined Apr 10, 2011 Posts 13,993 Reaction score 11,871 Jun 18, 2020 #83,298 Don Clericuzio said: Jamaa kanichekesha sana aisee...! Click to expand... Aiseeeeehhhh....timu inafungwa jijini Manchester lawama anapewa raia aliye huku Ubungo maziwa hahahahahaha ndio maana sihami hii timu,naipenda mnoooo
Don Clericuzio said: Jamaa kanichekesha sana aisee...! Click to expand... Aiseeeeehhhh....timu inafungwa jijini Manchester lawama anapewa raia aliye huku Ubungo maziwa hahahahahaha ndio maana sihami hii timu,naipenda mnoooo
Don Clericuzio JF-Expert Member Joined Dec 8, 2017 Posts 16,930 Reaction score 40,585 Jun 18, 2020 #83,299 DullyJr said: Aiseeeeehhhh....timu inafungwa jijini Manchester lawama anapewa raia aliye huku Ubungo maziwa hahahahahaha ndio maana sihami hii timu,naipenda mnoooo Click to expand... Aaron Arsenal kajificha kukimbia lawama za washabiki. Hivi inakuaje mtu unachagua kushangilia timu kama Arsenal! Mimi naona hizi shida mnajitakia wenyewe
DullyJr said: Aiseeeeehhhh....timu inafungwa jijini Manchester lawama anapewa raia aliye huku Ubungo maziwa hahahahahaha ndio maana sihami hii timu,naipenda mnoooo Click to expand... Aaron Arsenal kajificha kukimbia lawama za washabiki. Hivi inakuaje mtu unachagua kushangilia timu kama Arsenal! Mimi naona hizi shida mnajitakia wenyewe
DullyJr JF-Expert Member Joined Apr 10, 2011 Posts 13,993 Reaction score 11,871 Jun 18, 2020 #83,300 Cash Money Forever said: Chelsea bana kuuza mbuzi kwenye gunia hawajambo Click to expand... Mungu anawaona ...yaani sisi tuwauzie OG ambaye amewapa kombe la EUROPA alafu nyinyi mnatuuzia Luiz anayetutiririsha kwenda chini huko..... Shubamit zenu all chelsea fan
Cash Money Forever said: Chelsea bana kuuza mbuzi kwenye gunia hawajambo Click to expand... Mungu anawaona ...yaani sisi tuwauzie OG ambaye amewapa kombe la EUROPA alafu nyinyi mnatuuzia Luiz anayetutiririsha kwenda chini huko..... Shubamit zenu all chelsea fan