Jamani tukalale nasema tukalale mechi ishaisha hii Kum***** Luiz ,last week Paul Merson alisema Luiz ataleta Majanga na Leo yametimia Hatuna timu ya kushindana na wakubwa wenzetu
Ulikuwa sahihi mtu wangu Arsenal ishapoteza mvuto wa ajabu na Arteta unawaweka willock Nketiah Matteo dhidi ya Man City?kweli?halafu tunasema Aubameyang atabaki?hapa anatuchora mwisho wa msimu atataka 500k Ili asepe zake