Arsenal (The Gunners) | Special Thread

aise hichi kikosi sijui. mildfield bado haijaniridhisha kabisaa, kuna kupotea hapa matteo na xhaka
 
Kikosi hiki ulichotabiri Arteta kaona ni upupu mtupu
 
Ngoja tuone ila Matteo na Xhaka hapo ni uchochoro mkubwa sana
mikel knows.....................wajua kuwa kuna ruhusa ya kufanya sub 5 hivyo akisema aanzishe wale tegemeo wote ikija wakachemka huko nje kutakuwa hakuna kitu hivyo bora alivyochanganya hivyo ili hao walioanza wakizingua basi tunaweka wengine
 
Hizi pancha zinaanza mapema,tayari wawili wajeruhi tutafika kweli kwa style hii.
 
mwenye link ya kustream live hii mechi jamani huku tanesco wamezingua tayari
 
link ya kustream live hii mechi jamani huku tanesco wamezingua tayari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…