"Unai alikuwa mjuaji sana. Alileta watu wake na kutimua waliokuwepo. Mbaya zaidi watu wake hata kiingereza kiliwashinda. Akataka kuleta soka la kihispania kwa pupa"
Will Jr unakumbuka juzi kati tuliongea kuhusu Auba?nkakwambia huyu jamaa lazima atasepa tu msimu ukiisha sababu anajua hana cha kupoteza leo kaja na kauli hii Tujiandae kwa lolote wachezaji wa south America na Africa hawaaminikiView attachment 1479774