Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Aubameyang’s new boots for the remainder of the season are so clean. [@Footy_Headlines]
IMG_20200614_002334.jpg
 
Aubameyang Ameongea kwa Mara ya kwanza kuhusu mustakabali wake ndani ya Arsenal

"Arsenal wana nafasi ya kuongeza mkataba wangu ,Itakuwa chaguo muhimu kwenye maisha yangu ,lakini hadi sasa Hakuna maamuzi yaliyofanywa"

Aubameyang: 'It's them [the club] who have the keys and for them to do their work. Afterwards we will see what happens.
It is a turning point in my career. I have been very frank with everyone. It will be of course a very difficult decision to make. [@telefoot_TF1 via @MailSport]

'I haven't recently received a proposition but of course there have been discussions with the club,'

Sky news si walisema anataka kusign out huyu?
 
Mkuu kiaje?

habari za ndani zasema itabidi Maitland Niles auzwe ili kupata fedha za kushibisha mkataba wa Aubameyang.

Ila hiyo ya Maky na Cluivert inaweza kuwork out. Roma wanataka 30m kwa Cluivert na Arsenal wanataka about 13m kwa Mkhitaryan hivyo watafanya deal la kama 20m hivi.

Lacazette huenda akabadilishana na Partey wa Atletico Madrid lakini mazungumzo na Laca bado yanaendelea..
 
Salama mkuu,

Hii ya Niles ni uongo , imeanzishwa na The Sun

Arsenal are hoping to sell Ainsley Maitland-Niles for £20m to fund a new contract for Pierre-Emerick Aubameyang. (Source: Sun on Sunday) https://t.co/WPL3AmGIgd

Atletico wanamnasa Cavan ambaye Jana Leornado katangaza Anaondoka PSG

So Cavan to Atletico na alishasain Pre contract

Hivo dili la Laca kwenda Atletico linakufa

Arsenal haihitaji kuuza mchezaji ili imlipe Auba , hii ni dharau ,The sun na Mail ndio wanaongea huu uzushi

Vipi kama Niles asipouzwa ,? Kwanza nan na Corona hii atoe £20m kwa Niles ?

Ni kweli hatuta spend sana lakini Bajeti iliyopo italeta watu si chini ya watatu

Partey release clause yake ni £44.5m

Mick + £13m tunampata Justin kluivert

Pia kuna ongezeko la CB mmoja around £30-40m ( hapa kuna Dayot ambaye Arsenal wanasubiri release clause yake iishe Muda wamchukue kwa bei chee , Huyu sio wa €60m ni kupigwa, kuna Magahles wa lille huyu ni £30m)

Na dili nyingine zitakuwa za Swap ,loan au free

Pia Mari atasajiriwa permanent

Sokratis atasepa , Mustafi may be
 
.@RuizAntonito:

"Inside Atlético there is an important part that gives up Thomas. His destiny would be the Premier and Arsenal appears as the best placed team." [@tjcope]

Atlético has tried to reach an agreement with the player to increase that clause, but it has not been possible. His destiny seems to be that he will be the Premier League and as Antonio Ruiz reports, Arsenal is the best placed to get Partey. [@COPE]
IMG_20200529_213432.jpg
 
Aubameyang and Pepe coming to Arsenal when we were in Europa League. Thomas Partey wants to join us while we are 9th. Arsenal are actually too big of a club, pulling top talent in Europa league you know. No one can chat to us.
 
Hii ya Niles ni uongo , imeanzishwa na The Sun

Atletico wanamnasa Cavan ambaye Jana Leornado katangaza Anaondoka PSG

So Cavan to Atletico na alishasain Pre contract

Hivo dili la Laca kwenda Atletico linakufa

Arsenal haihitaji kuuza mchezaji ili imlipe Auba , hii ni dharau ,The sun na Mail ndio wanaongea huu uzushi

Vipi kama Niles asipouzwa ,? Kwanza nan na Corona hii atoe £20m kwa Niles ?

Ni kweli hatuta spend sana lakini Bajeti iliyopo italeta watu si chini ya watatu

Partey release clause yake ni £44.5m

Mick + £13m tunampata Justin kluivert

Pia kuna ongezeko la CB mmoja around £30-40m ( hapa kuna Dayot ambaye Arsenal wanasubiri release clause yake iishe Muda wamchukue kwa bei chee , Huyu sio wa €60m ni kupigwa, kuna Magahles wa lille huyu ni £30m)

Na dili nyingine zitakuwa za Swap ,loan au free

Pia Mari atasajiriwa permanent

Sokratis atasepa , Mustafi may be

NIles kwa asili ni kiungo na si RB na Arsenal walikuwa wakimtumia kwa muda mrefu sababu ya Bellerin kuwa majeruhi.

Lakini anataka kurudi kwenye nafasi yake ya CM ambayo ameizoea ila atasugua bench kama atataka hivyo, hivyo option iliyopo ni kwenda timu zingine.

Sababu pala ekati yupo Xhaka, Guendouzi na Torreira tayari.
 
Atletico Madrid have failed to convince Thomas to stay. They’re resigned to letting Thomas leave and Arsenal is the best positioned team for his signature.
IMG_20200529_213432.jpg
 
NIles kwa asili ni kiungo na si RB na Arsenal walikuwa wakimtumia kwa muda mrefu sababu ya Bellerin kuwa majeruhi.

Lakini anataka kurudi kwenye nafasi yake ya CM ambayo ameizoea ila atasugua bench kama atataka hivyo, hivyo option iliyopo ni kwenda timu zingine.

Sababu pala ekati yupo Xhaka, Guendouzi na Torreira tayari.
Niles hawezi kupata namba aende tu,Mustafi auzwe, Guendouz naye atafutiwe mkopo, Mari asisajiliwe bado yupo soft sana hana tofauti na Rob,ubora wake ni pass, ikiwezekana tumpate Upamecano X Saliba.
 
Upamecano ndie target ila at 50M ni parefu kidogo.

Tatizo la Arsenal ni matumizi kwani uchambuzi ulofanywa na Arsenal Trust umeangalia kwa kina maeneo kama madeni, na mishahara pamoja na FFP kama ni factors kwa maendeleo ya timu miaka ijayo.

Na hii analysis imefanywa kuanzia tarehe 1 June 2018 hadi 31 May 2020

Hivyo kuanzia maingizo ya siku, matangazo ya mechi, biashara yaani commercial (hapa ni pamoja na wadhamini), mauzo ya jezi na vifaa na mikopo ya wachezaji kwenda timu zingine.

Mapato yanasikitisha sana na khasa ukizingatia hakuna champions league.

Arsenal ni mpaka waingie Champions league kupitia Europa league ndio wataanza kupata ahueni.

Ni ukweli ambao ni mchungu lakini Arsene Wenger alikuwa genous katika kuiendesha timu na kuhakikisha inacheza CL ila hakuwa na fedha za kuinvest kwa wachezaji wa maana.
 
Dayot Arsenal wanamthaminisha kuanzia €35-40m

Kinachofanyika sasa hivi ni kusubiri Release clause yake iishe muda , then waingie Mezani Ku negotiate bila uwepo wa release clause ambayo ni fixed (€60m),

Liverpool alitaka afanye hivi kwa Timo Werner ,release clause iishe muda ,waende mezani amchukue kwa bei nzuri ,na sio hiyo £52m

Jana Tuttosport wamesema Ac Milan kaambiwa na Leipzig Arsenal ndio frontrunner kwenye hili dili.

According to @tuttosport .. Milan lost the race to the contract with Upamecano, who was won by Arsenal ..

The English club received a promise from Nagelsmann to allow the defender to join them ..

@tuttosport

Kutokucheza UCL kumetukost pia kutomwaga hela

Toka KSE waichukue klabu mwaka Jana kwa 100% ,waliahid kuanza kumwaga hela ,

Na dirisha lililopita walimwaga hela ila kwa siri Sana na kwa akili sana ,

Mwaka Jana Josh alifanya interview akasema wanaweka mzigo ,ila alificha na ndio maana dili nyingi mnasikia ni installment ,hata ile kusema Arsenal wana bajeti £45m walivujisha bodi wenyewe ,inaonesha kuna mzigo uliingizwa kinyemela na KSE , ila haikutakiwa kuwekwa wazi , tungeweza kufungiwa.

Soma hapa, Uone Josh kroenke akiongea na David Ornstein

Ornstein: "Josh Kroenke told me in an interview that KSE used "instruments" to make last summer's spending more possible but we don't know if that meant investing their own money. And whether you like it or not, there's not much they can do under FFP rules."

Mwaka huu pia kuna tetes Ataweka mzigo au ataikopesha klabu ... Pia FIFA wanapanga kuruhusu vilabu vyote kuvipa unafuu wa kutumia hela wasibanwe na FFP, sababu ya corona crisis

Soma hapa KSE kuweka mzigo

Arsenal to receive cash injection from owner Stan Kroenke
 
Arsenal and Thomas Partey both want each other. Thomas Partey has already made a decision and Athletico Madrid know what his decision is. [@TheAFCBeII]
 
Antonio Ruiz

Tier 1 Atletico news

Anakwambia Partey kashaamua anakwenda Arsenal

| #AFC

News has been widely circulated today that an important part of Atlético Madrid have seemingly given up on trying to tie down Thomas Partey.

His destiny is the Premier League and Arsenal seem to be the best placed team. [@RuizAntonito]
 
As we mentioned earlier in a number of our blogs: •

Manchester United and Liverpool have contacted Partey's representatives in the past, but these two themes are cold and inactive.

Arsenal and Thomas both want each other

• The player has already made a decision and his club knows this

• The completion of the deal is currently unpredictable

• Arsenal is very serious

Source :AFCBell
 
According to Gazzetta Dello Sport, talks between Arsenal & Roma over a player exchange deal involving Henrikh Mkhitaryan & Justin Kluivert have been progressing well with #Arsenal ready to meet Roma's asking price for the winger.
IMG_20200613_141317.jpg
 
Upamecano ndie target ila at 50M ni parefu kidogo.

Tatizo la Arsenal ni matumizi kwani uchambuzi ulofanywa na Arsenal Trust umeangalia kwa kina maeneo kama madeni, na mishahara pamoja na FFP kama ni factors kwa maendeleo ya timu miaka ijayo.

Na hii analysis imefanywa kuanzia tarehe 1 June 2018 hadi 31 May 2020

Hivyo kuanzia maingizo ya siku, matangazo ya mechi, biashara yaani commercial (hapa ni pamoja na wadhamini), mauzo ya jezi na vifaa na mikopo ya wachezaji kwenda timu zingine.

Mapato yanasikitisha sana na khasa ukizingatia hakuna champions league.

Arsenal ni mpaka waingie Champions league kupitia Europa league ndio wataanza kupata ahueni.

Ni ukweli ambao ni mchungu lakini Arsene Wenger alikuwa genous katika kuiendesha timu na kuhakikisha inacheza CL ila hakuwa na fedha za kuinvest kwa wachezaji wa maana.
Ngoja tumsubiri Dangote mkuu, huyu jamaa anakatisha tamaa Wamarekani na mpira wapi na wapi
 
Back
Top Bottom