DullyJr
JF-Expert Member
- Apr 10, 2011
- 13,993
- 11,871
Aiseeeeehhhhhh......Arsenal have £235m in the bank that can be spent without breaking any FFP rules. [@Soccerex] #afc
Naota au?
Aiseeeeehhhhhh......Arsenal have £235m in the bank that can be spent without breaking any FFP rules. [@Soccerex] #afc
Account gani na wewe......Na zile account zako nyingine pia tisizione....
Utakapojipiga ban basi uhakikishe hata harufu yako haisikiki,Account gani na wewe......
| Barcelona prepared to pay portion of Philippe Coutinho’s wages for him to leave the club
DealKulingana na taarifa kutoka kwa Mwandishi kutoka Italy @Andrea_DiCarlo ..
Anasema Arsenal na Roma zipo kwenye mazungumzo ya kubadilishana Mkhitaryan na Justin Kluivert kwenda Arsenal.
Klabu hizo mbili zinafanya bidii kuhitimisha mpango huo .. Roma ina wanamthaminisha kwa dau la Euro milioni 40 ..
Arsenal wanatakiwa kumtoa Micky + €25mView attachment 1476455
Beki mzuri anahitajika mkuu, sio kuvumilia ujinga wa wapumbafu kila siku.Kulingana na Gazeti la michezo la Italia la @tuttosport,
Arsenal wameishinda mbio Ac milan kwa Dayot Upamecano.
Julian Nagelsmann amewawashia Gunners taa ya kijani kwa beki huyo mwenye umri wa miaka 21 kujiunga na klabu hiyo ya London.
“The Leipzig CB was on Rangnick's list, but there is an overtaking by the British: the Gunners have snatched a promise from the Nagelsmann club.”
This is the header of the @tuttosport article. Means that Leipzig and Arsenal have a verbal agreement for Upamecano for this summer.
View attachment 1477228
haya bhasi sema tumeshuka daraja na wewe umechukua ubingwa EPL, umeshalidhika?!Hii kikundi bado hakijashuka daraja tu?