Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
Tena Morata ni bora zaidi .Kijana tulia hatuna shida na striker sisi
Huyo Werner si sawa na morata tu
Subiri msimu huu uishe ntakurudia hii kauli yako kuna mtu nlikuwa zamani wakati wa Van persie nlikuwa mbishi kama wewe nikaumbuka, mwanzo nimekwambia situation ya Auba na Saka ni tofauti kabisa yaani Mbingu na Ardhi ,kwa situation ya Auba ambayo naiona ni dhahiri anataka kuondoka ila anapima upepo kwanza hawezi kukurupuka kusema anataka kuondoka sababu msimu haujaisha,pia kumbuka next season ndo unakuwa mkataba unaelekea mwisho ndo maana mpaka sasa hajasign na kama baada ya mwisho huu wa msimu atakuwa hajasign maana either ataondoka bure au Arsenal imuuze hvyo yeye yupo kwenye situation ya kawaida kabisa na wachezaji wote wakubwa hata RVP alitumia hali hii na tukaona nini kilitokea ila Mimi naona kabisa Auba hana maisha marefu Emirates trust me na Saka anajijua bila Arsenal career yake itafika mwisho hata akienda timu kubwa kucheza na kuaminika nafasi yake itakuwa finyu huyu atasign mkataba muda wowote uleNdugu, Kwa kuwa Auba hajasign contract umesema anataka kuondoka, nimekuuliza na Saka vipi mbona hajasign na yeye anataka kuondoka?, Wewe Unataka kuongea vitu ambavyo huna uhakika navyo, ndio maana mwanzo nlikuuliza umejuaje kama Auba anataka kuondoka Arsenal
Hatimaye sauti imetokaaaaaa hahahahaaaaaaaa....
Hatimaye sauti imetokaaaaaa hahahahaaaaaaaa....
Sisi lolote lile hata wakisema msimamo upangwe alphabetical na wa kwanza apewe ubingwa poa tu....
Aisee subira ikawa ndio subira😀😀usijihisi mnyonge arsenal inapita katika mabadiliko makubwa ya uchezaji ndani yatimu,pili wachezaji wengi ni wageni katika kuhimili mikiki ya ligi ya ulaya hata uingereza omba tuingie robo fainali ya ulaya utaona jinsi timu itakavyo anza kijiamini mabadiliko utayaona tatu majeruhi mengi ni kwa wakongwe ambao tulitegemea ndio wangeweza kuwapa ujasiri wegeni vuta subira mambo yanakuja baada ya majeruhi kusimama sawa huku wageni kama unvyo ona wanaanza kutulia katika uchezaji mambo mazuri hayataki haraka