Arsenal inatarajiwa kutuma ofa rasmi kwa Orkun Kökçü 'ndani ya wiki chache'. Arteta anamjua mchezaji huyo kwa miaka, haswa kupitia ripoti za skauti kutoka Man City.
Arsenal wanataka kujenga timu mpya, yenye vipaji na ya vijana, wanaamini Kökcü anafiti kwenye falsafa hiyo[@VI_nl]