Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Mikel Arteta gave an update on Torreira after the game.

"He was in a lot of pain," said the head coach.

"He is in a brace at the moment, he will be assessed in the next few days and we will know more then.

"I don’t know if it’s the bone or ligaments, we don’t know yet."



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pablo Mari’s Arsenal debut in numbers:

90 minutes
100 touches
77 passes
13 long balls
3 aerial duels won
3 shots blocked
5 clearances
1 clean sheet

A top performance
#afc
 
Patamu hapo

Next week

Chelsea vs Everton

Nyumbu vs cityzen

Hapa lazima wadondoshe point tena hawa kenge
 
Kuna haja gani ya kupambana kwenda mashindano ya UEFA ilihali mnaenda kusindikiza wanaume kila mwaka? Bora mmalize nafasi ya 10 mjikite kwenye kujenga timu zaidi EPL.

Sent using Cash Money Wings
Aliyekwambia tunaenda kusindikiza kama wewe nan? Kwanza tunaunda timu

Kwahiyo jipange hiyo nafas unashushwa korokoron muda si mrefu
 
Kilichobaki ni kucheza kila mechi kama fainali...piga ua naiona top 4 na sis wana asenali tukiwemo
 
Bila shaka ww fan wa manure

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndugu zangu mashabiki wa Arsenal niwaambie kitu, Mkifungwa mechi yoyote ile msiongee Kiswahili humu nyie Tandikeni Kimombo ( English) Hakuna mtu atakayekuja kuwasumbua huu watatokomea wote kusikojulikana mfano mzuri ni kule kwenye uzi wetu Liverpool wanakula kona tu.
 
Naona kijana toka upenye katika tundu walilolitoboa Watford umeanza kuwa jeuri,kumbuka ile ni FA.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahahahaha huwaga nawaelewa sana washabiki wa Liverpool wana mbinu kali kama za kocha wao....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…