Drone Camera
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 14,121
- 14,032
Kaangalie ujumbe wa Auba insta acha kupotoshwa na huyo nyumbu.Aondoke zake. The Gunners shall essentially remain for ever. Abu nini bhana...wamepita Legandries kama Henry sembuse yeye? Unapenda kucheza UEAF kwa mgongo wa wachezaji wenzako..pambana ili uiwezeshe timu ifike huo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kunywa maji kwanza hangover ya mataputapu uliyokunywa ikuisheTunaanua matanga ya Europa lini gooners wenzangu??? Hahahahaha
Hii timu kweli ugonjwa wa moyo hadi nawaonea huruma. Mnatia huruma hahahahaha.
Tuanue matanga sasa gooners wenzangu maana wale olympiacos walitufanya kitu mbaya jamani.
Ila nimesikia Europa wameunda time huru mechi unaweza kurudiwa tena tunashinda hahahahaha.
Kazi mnayo msimu huu naskia mpo karibu na ile relegation.
Yaani Top class striker Aubameyang tunamvizia atawaacha kama Robin RVP msimu ule maana na yeye Juzi Europa amejua kwamba hajui akabaki anaduwaa.
#GGMU
Abomolewe tu ujenzi nyumbu huyoUnacheka cheka kwenye jukwaa la He'z au unataka tukubomoe ujenzi.
Every team has to bow down on the only one THE INVINCIBLES. Liverpool oh tutamaliza bila kufungwa. Nyoooo... Nawaombea wabebe kombe miaka mingi imepita bila kulibeba.
There is only one Arsene Wenger 🔫
Uyo Wenger alibeba kipind hamna sheria za offside ivyo alikuwa anashinda shinda tu kimazabe ..lakin baada ya sheria kuanza angalia alipoteana hadi leo arsenal inaenda kuwa kma BoltonThere is only one Arsene Wenger
Wenger alibeba hilo kombe kipindi mpira unachezwa na wanaume, sio hawa kina Marioo Tammy Abraham.Uyo Wenger alibeba kipind hamna sheria za offside ivyo alikuwa anashinda shinda tu kimazabe ..lakin baada ya sheria kuanza angalia alipoteana hadi leo arsenal inaenda kuwa kma Bolton
Sent using Jamii Forums mobile app
Uyo Wenger alibeba kipind hamna sheria za offside ivyo alikuwa anashinda shinda tu kimazabe ..lakin baada ya sheria kuanza angalia alipoteana hadi leo arsenal inaenda kuwa kma Bolton
Sent using Jamii Forums mobile app
Akili za wakimbizi kutoka Liverpool ndio hizi, hao wengine kwanini hawakuwa na record hizo au walikufa?Uyo Wenger alibeba kipind hamna sheria za offside ivyo alikuwa anashinda shinda tu kimazabe ..lakin baada ya sheria kuanza angalia alipoteana hadi leo arsenal inaenda kuwa kma Bolton
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii bange unayovuta kali sana mzee.......Uyo Wenger alibeba kipind hamna sheria za offside ivyo alikuwa anashinda shinda tu kimazabe ..lakin baada ya sheria kuanza angalia alipoteana hadi leo arsenal inaenda kuwa kma Bolton
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakati ule ulikuwa ni zama za kubebwa za Arsenal kama zilivyokuja za Man u kubebwa na akina Howard Web na sasa tunaona Liverpool ikibebwa na VAR, sisi Chelsea atukuwahi ata Siku kuonja ladha ya kubebwa na marefa wala teknolojia yeyote ile ..Ahaaa kaka tafadhali tuombe radhi ina maana nyie Chelsea mlikuwa na mabinti,mkashindwa kupata UNBEATEN record au
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakati uo mpira hakuna cha offside akuna cha nini ..ivyo walikuwa wanacheza bila mwelekeo wowote angalia mpira wa sasa ..ndo maana timu kama Arsenal mifumo ya uendeshaji ilivyobalika zikaanza kupoteana ..Wenger alibeba hilo kombe kipindi mpira unachezwa na wanaume, sio hawa kina Marioo Tammy Abraham.
Liverpool haiwezi kuwa na hadhi ya kushabikiwa na V.I.P kama mimi mkuu..Akili za wakimbizi kutoka Liverpool ndio hizi, hao wengine kwanini hawakuwa na record hizo au walikufa?
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakati uo mpira hakuna cha offside akuna cha nini ..ivyo walikuwa wanacheza bila mwelekeo wowote angalia mpira wa sasa ..ndo maana timu kama Arsenal mifumo ya uendeshaji ilivyobalika zikaanza kupoteana ..
Sent using Jamii Forums mobile app