Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Sawa but you better shoot an email to the management coz we here can do nothing.
 
How did we lose this game? Dah inasikitisha sana. Lakini hamna namna, maajabu katika mpira ndio kama hivyo.
 
Hatimaye baada ya miaka 22 ya Mzee Wenger timu yetu ya ARSENAL imejifia rasmi na inazidi kudidimia!chini ya Mzee Wenger tumecheza champions league karibia mara zote na hata Europa league tukafikia nusu fainali na alivyokuja Unai akakuta Msingi wa babu bado umekaa vizuri tukafikia hadi fainali na kuingia top 6 sababu Msingi bado ulikuwa upo sawa Leo hii timu hii hata top 10 hatuna uhakika wa kuimaliza na tumetolewa round ya 32 tena Europa league duh ARSENAL yangu imejifia rasmi na itachukua miaka na miaka kukaa sawa hata big players hawatataka kuja kwenye timu ambayo msimu ujao hatutashiriki champions league wala Europa league Leo hii ARSENAL imetolewa ila wolves amefuzu tena kacheza na timu ya spain duh hatari sana na msimu wetu ndo umeisha rasmi hata mechi zilizobakia kuangalia ni kujitafutia maumivu makali sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Una uandishi kama wa milango3...
 
Yani kumbe we jamaa ni shabiki wa Arsenal
. Unavyokujaga jukwaa letu nikajua unashabikia timu ya maana kweli.

Kumbe Arsenal


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…